UKAWA YAVURUNGA NGOME YA CCM NZEGA,KWA CHOPA

 Mgombea Urais kupitia Ukawa Edward lowassa akiwasili katika uwanja wa polisi mjini nzega,na mwenyekiti wa Taifa Freemani Mbowe  walipowasili mchana huku umma wa wananchi ulifulika uwajani hapo .
 Mh Waziri Mkuu Mstafu fredilck  sumaye akiwahutubia wakazi wa nzega .
 Mgombea Urais kupitia Ukawa Edward lowassa Akipiga makofi,huku akiwasalimia wananchi uwanjani hapo  alipowasili katika uwanja wa polisi mjin Nzega .
 Mwenyekiti wa Taifa Freeman Mbowe Akitoa salamu za Ukawa katika uwanja wa polisi mjini nzega na kuomba wananchi wa nzega kupiga kura na kuondoka madaraka serikali ya ccm ili wapata haki yao.

 Mgombea Urais kupitia ukawa Edward lowassa akimuombea kura kwa wananchi wa nzega  mgombea ubunge wa chadema kupitia ukawa charles mabula mjini nzega .
Hilo ni chopa kabla kutua katika uwanja wa polisi mjini nzega,ilikiwa juu ya anga ya nzega ilikitokea mjini urambo .

Post a Comment

Previous Post Next Post