sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » MAFUNZO YA KUINUA ELIMU YATOLEWA NA REICHET FOUNDATION WILAYANI KAHAMA

 MAHUJAJI WAKISIKILZA HOTUBA YA MGENI RASM KATIKA UKUMBI WA PHN MJINI KAHAMA 
  
  MAHUJAJI WAKISIKILZA HOTUBA YA MGENI RASM KATIKA UKUMBI WA PHN MJINI KAHAMA
 
 UMAKINI WA KUSIKILIZA HOTUBA YA MGENI RASMI VIJANA WA MAHUJAJI WA ELIMU 
  
  Mratibu wa jitihada ya uwezo wilaya ya Kahama Mwamini Haruna alisema mchakato wa kuwapata wahujaji kwenda kufanya tathmini katika maeneo yaliyolengwa ambayo ni ofisi ya kijiji au mtaa,shule na kaya umezingatia vigezo kutokana na nafasi hiyo kuwa umuhimu wake 

  MAHUJAJI WAKIWA DARASANI

 Mratibu wa jitihada za UWEZO kupitia asasi ya kiraia ya TWAWEZA Gerlad Ng’ongha alisema mafunzo hayo kwa wahujaji wa kujitolea yamelenga kupata takwimu sahihi za ujifunzaji kwa watoto kuanzia darasa la 2 hadi la 7 ili kufahamu uwezo wao wa kuandika,kusoma na kuhesabu.

 Mkuu wa shirika REICHET FOUNDATION CELINA PASCHJAL Akisikiliza  Hotuba ya mgeni Rasmi
  
 
Kaimu Afisa Taaluma halmashauri ya Ushetu  Zacharia Ngussa wakati akifungua mafunzo ya siku mbili kwa wahujaji 60 toka viji 20 kwa ajili ya kwenda kufanya tathmini ya ujifunzaji mashuleni wilayani Kahama.

 PICHA YA PAMOJA YA MAHUJAJI  WAKUJITOLEA WAKIWA KATIKA PICHA 

   PICHA YA PAMOJA NA MGENI RASM WA MAHUJAJI WA KUJITOLEA 
MAHUJAJI WAKIBADILISHA MAWANZO



Wahujaji wa kujitolea wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuyatumia vyema mafunzo wanayopatiwa na wakufunzi wao pindi watakapokuwa kwenye  maeneo watakayopangiwa ili yaweze  kuleta tija katika kuinua elimu hapa nchini.

Hayo yalisemwa na kaimu Afsa Taaluma halmashauri ya Ushetu  Zacharia Ngussa wakati akifungua mafunzo ya siku mbili kwa wahujaji 60 toka viji 20 kwa ajili ya kwenda kufanya tathmini ya ujifunzaji mashuleni wilayani Kahama.
 

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply