sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » MBUNGE VITI MALUMU AIBUA MADUDU WANAFUNZI 2356 WATUMIA MADARASA 12 KAHAMA

Mh Mbunge wa viti maalum mkoa wa shinyanga  kupitia chama cha Demokrasi na maendeleo Chadema Mh Salome Makamba akiongea na wanafunzi wa darasa la tano shule ya msingi Mhungula mjini kahama ambapo wanafunzi hao wanakaa chini ya sakafu ya vumbi .

 Mh Mbunge wa mkoa wa chadema salome makamba akiongea na wanafunzi wa darasa la Tano Shule ya msingi  Mhungula mjini. 

Mh mbunge wa Viti maalumu Chadema mkoa wa shinyanga  salome makamba akiongea na mwanafunzi wa Darasa la Nne  Rebeca Saimon akiwa Darasani ambapo Mh Alifanya ziara ya kughafula katika shule ya mhungula mjini kahama.

Hii ni moja ya Nyumba ya mwalimu mkuu shule ya msingi Mhungula ambapo kwa sasa Mwalimu huyo anaishi Hapo baada ya nyumba hiyo kumbomoka na sasa anaishi  nje ya mji wa kahama Takribani kilometa Tano.

Huu ni upande wa nyuma wa nyumba ya mwalimu mkuu wa shule ya msingi mhungula

Mh mbunge Salome makamba akiongozana na baadhi ya walimu wa shule ya msingi Mhungula akiwa katika ziara yake ya kawaida ya kuangalia maendeleo na kauri ya  Mh Rais ya Elimu Bure kama nyametekelezwa na wakurungezi wa Halmashauri ya mji  .

 Mh Salome Makamba Akiangalia Nyumba ya mwalimu mkuu wa shule ya msingi Mhungula Mjini Kahama.

Baadhi ya walimu wa shul;e ya msingi Mhungula wakiongea na Mh Mbunge wa Viti Maaluma CHADEMA Salome Makamba wakati wa ziara yake ya kikazi.

 Wanafunzi wakiwa Chini ya sakafu wakisoma katika shule ya msingi Mhungula mjini kahama

Mh Salome Makamba  akiongea na moja wa wanafunzi wa darasa la Tatu pili Juma  shule ya msingi mhungula.

Mh  Mbunge Viti Maalum chadema Salome Makamba Akiangalia madaftali ya mwalimu katika shule ya msingi Mhungula.

 Heeeeeee Hii ndiyo  Nyumba ya mwalimu Mkuu  hayo ndiyo maneno ya  Mh Salome makamba Wakati wa ziara  katika shule hiyo .

 Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Mhungula Thomas Otieno,akiwa na Mh Mbunge wa Viti Maalum Salome Makamba katika shule hiyo.

Mh Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya kahama Juma Protes ambaye amekaa kwenye kiti  wakiwa na mbunge wa Viti Maalum Salome makamba  wakati wa ziara katika shule hiyo
    
Mbunge wa Viti Maalum  Salome Makamba Akiongea na Baadhi ya walimu na Vyombo vya Habari wakati wa ziara yake Katika Shule hiyo


 KAHAMA 

Mbunge viti maalumu mkoa wa Shinyanga kupitia CHADEMA, Salome Makamba  imetakiwa Serikali kutekeleza sera ya Elimu bure kwa shule za msingi hadi sekondari  hapa nchini kwa vitendo badala ya kuishia kuzungumza kwa maneno tu.

 Mbunge huyo alisema hayo  wakati akizungumza na walimu wa shule ya msingi mhungula   katika ziara ya kushtukiza aliyoifanya katika shule hapo na kujionea mapungufu katika shule hiyo.

Makamba alisema kuna kila haja Serikali kwa kupitia Halmashauri ya mji wa Kahama kusimamia uboreshwaji wa Elimu katika shule za msingi mjini Kahama ukizingatia wilaya hiyo ina fursa mbalimbali za uwekezaji kama vile Migodi,Kilimo na Biashara badala ya kutegemea serikali ambayo inatekeleza sera ya Elimu kwa maneno tu.
     

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply