sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » KISHIMBA AWANGA VIFAA NA DAWA ZAIDI SHILINGI MILIONI 4

Akikabidhi msaada huo kwa kaimu Mganga mkuu wa halmashauri ya Mji wa Kahama  Joseph Fabian,katibu wa Mbunge huyo Abdul Mpei.

 Hiki  ndiyo kituo cha Afya cha Mwendakulima


Mmoja ya Viti vya walemavu ambapo mh mbunge wa jimbo la kahama jumanne kishimba alivyotoa katika kituo cha Afya Mwendakulima mjini kahama

Baadhi ya maboksi ya madawa

Mmoja ya kitanda cha kujifungulia wakinamama cha kisasa ambavyo vimetole na  Mbunge jumanne kishimba

Mmoja ya Vitanda vya watoto ambavyo vimetolewa na mbunge wa jimbo la kahama jumanne kishimba.

Diwani wa kata ya Mwendakulima mwenye shati la jano  Emmanuel Mtasima na Katibu wa mbunge wa jimbo la kahama Abdul mpei

Mmoja ya Vitanda vya kinamama wajawazito katika kituo cha Afya Mwendakulima


KAHAMA

Mbunge wa Jimbo la Kahama mjini mkoani Shinyanga Jumanne Kishimba ametoa  msaada wa dawa na Baiskeli za kubebea walemavu wa miguu katika kituo cha Afya Mwendakulima ambao umegharimu zaidi ya shilingi milioni 4 utakaosaidia kutatua baadhi ya changamoto zilizopo katika kituo hicho.

Akikabidhi msaada huo kwa kaimu Mganga mkuu wa halmashauri ya Mji wa Kahama  Joseph Fabian,katibu wa Mbunge huyo Abdul Mpei amesema Kishimba ametoa msaada huo ikiwa ni moja ya utekelezaji wa ahadi zake alizozitoa wakati wa Kampeni,kuhakikisha anajitoa kusaidia Sekta ya Afya wilayani Kahama.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply