KURADHI KWA WASOMAJI WETU

Mbunge wa jimbo  Kahama jumanne kishimba alitoa Baiskeli mbili na Dawa na siyo Vitanda kama ilivyoelezwa kwenye Tarifaa yetu ambapo vitanda hiyo vilitolewa na mgodi wa Dhahabu wa Buzwagi Acacia .

Post a Comment

Previous Post Next Post