By: Mohab Dominic
on 02:25
/
 |
hili ndiyo jengo la bucha la kisasa mjini kahama |
 |
Baadhi ya majokofu ya kuhifadhi nyama tayari kuliwa na mteja |
 |
Nyama ambayo imekwisha andaliwa kwa kuuzwa na ipo na viungo vyote hakuna kuosha nyama tena hapo ni kupika tu . |
 |
Mmsana mteja wetu oja ya wanyakazi wa Bucha hii mwajuma akiwa katika majukumu yake ya kila siku mwenye sura ya tabasamu karibu |
 |
Mkurungezi wa Geongia Bucha Ruhinda akionyesha baadhi ya watu jinsi nyama inavyoifadhiwa katika majokofu baada ya kutoka katika machinjio na kuhifadhiwa kwa usalama zaidi |
 |
Hizi ni baadhi ya nyama ziliwekwa katika jokofu maini |
 |
Mkurungezi wa Georgia Bucha,Ruhinda Akitoa maelezo juu ya matumizi ya mashine za kukata nyama kwa wateja wake waliotembelea bucha hiyo . |
 |
Mkurungezi wa Georgia Bucha Ruhinda akitoa maelezo juu ya mradi huu kwa wajasimilia mali |
 |
Mtalaamu mkuu wa nyama Voster kaguna akionyesha jinsi ya kupima nyama kwenye mzani |
 |
ipo tayari kwa mteja sasa baada ya kupimwa kwa bei iliopendekezwa |
 |
Mmoja ya mteja akiangalia njisi nyama zilivyoifadhiwa katika utaratibu |
 |
Karibuni |
 |
Mtalamu mkuu wa Bucha ya Georgia Voter kaguna akionyesha moja moja ya masheni ya kusanga nyama kwa mashine ambapo vinauzwa hapo pia |
 |
Eneo ya Bucha
Kwa nyama bora na salama karibu GEORGIA BUCHA |
Tag:
habari
matukio
MOHABMATUKIO.BLOGSPOT.COM's Admin
We are.., This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
No comments: