headlines

sponsor

sponsor

Slider

  1. 1
  2. 2
  3. 3
  4. 4
Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » MAUAJI YA KUTISHA WATU WATATU MSIKITINI MWANZA
 Mohab Dominic






Taarifa iliyonifikia kutokea Mwanza ni hii ya kusikitisha ya watu watatu kuuawa kwa kuchinjwa wakiwa katika nyumba ya ibada usiku May 18, 2016,  Msikiti wa RAHMANeneo la Ibanda relini mtaa wa Utemini Mkolani Mwanza.
Ripoti kutoka kwa Kamanda wa Jeshi la Polisi Mwanza Ahmad Msangi amesema……>>>Watu wasiozidi 15 wakiwa wamevalia mavazi ya kuficha uso, wakiwa na Mapanga, Shoka na Bendera nyeusi yenye maandishi meupe waliingia msikitini wakati waumini wakiwa wanaswali wakazima taa wakisema Kwanini mnaswali wakati wenzenu wanashikiliwa na Polisi?’ 
picha kwa hisani millard ayo.com

«
Next
SAFARI YA MWISHO YA HAPA DUNIA MPENDWA WETU SYLYESTAR NKWABI KABALO
»
Previous
HOSPITAL YA KAHAMA YAZIDIWA NA WANGONJWA MANES WANACHATI TU
Pages 22123456 »

No comments:

Leave a Reply