HOSPITAL YA KAHAMA YAZIDIWA NA WANGONJWA MANES WANACHATI TU

 Meya wa mji wa kahama Abel Shija akimuangalia Moja ya majeruhi aliletwa hospital baada ya kupata ajali ya kungongwa na Trecta mzee Josepha Magutano akisaidiwa na mjukuu wake baada ya manesi kuwa biz na kazi nyingine. 

Wanasubiri vipimo  eneo la mahabara katika hospital ya wilaya kahama. 
 Mzee josepha Magutano mkazi wa kijiji cha buukoba wilayani kahama akisaindiwa na mjuuku wake kupelekwa wodini  huku  meya wa kahama mh Abel shija akiangalia jinsi huduma hiyo inavyotolewa na wanachi wakati manesi wapo kwenye simu za whatsapp wakichati.

 Baadhi ya wangojwa wakiwa katika mti wa mwembe wakisubiri huduma eneo la mahabari katika hospitali ya kahama.

 

HOSPITAL YA KAHAMA YAZIDIWA NA WANGONJWA MANES WANACHATI TU HOSPITAL YA KAHAMA YAZIDIWA NA WANGONJWA   MANES WANACHATI TU Reviewed by Mohab Dominic on 22:29 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.