POLE ISSA MICHUZI KWA KUONDOKEWA NA KIJANA WAKO, MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPONI,AMINA

 Issa michuzi akipewa faraja na ndugu na njama zake wakati wa msiba wa kijana wake maggid muhindini 

poleni sana kaka ni maneno ya wazri mkuu msaafu joseph warioba akimpa mkono wa pole issa michuzi 

pole sana kaka maneno ya mh rais msaafu jakaya mrisho kikwete 

Baadhi ya viongozi wa serikali walipofika nyumba kwa issa kumpa pole 

 ANGALIA PICHA ZA MATUKIO YA MAZISHI YA KIJANA WETU  MAGGID MICHUZI 
POLE ISSA MICHUZI KWA KUONDOKEWA NA KIJANA WAKO, MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPONI,AMINA POLE ISSA MICHUZI KWA KUONDOKEWA NA KIJANA WAKO, MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPONI,AMINA Reviewed by Mohab Dominic on 07:48 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.