WAFANYAKAZI WA MGODI WA BUZWAGI ACACIA WAPANDA MAHAKAMANI KWA UTAPELI WA SARUJI.
by Mohab Dominic-
0
Ni maeneo ya machimbo Waliokuwa wafanyakazi
katika Kampuni ya Acacia Buzwagi wamefikishwa katika Mahakama ya wilaya ya
Kahama kwa kosa la Kugushi nyaraka na kujipatia mifuko ya saruji tani 800 kitapeli
yenye thamani ya shilingi mil 320 mali ya AGAS Buliding Solution Company
Limited ya MjiniKahama.