sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » TULIKUPENDA SANA ILA MUNGU AMEKUPENDA ZAIDI YETU MPUMZIKA KWA AMANI SHEMEJI YETU MPENDWA CATHERINE MUSSA

 Buriani Catherine  mussa mke wa Dj Doctor  wa  kahama mjini  R I P Amina 

 Dj  Doctor mussa akilia kwa uchungu baada ya kuona mwili wa Mke wake wakati wa kuuanga kwa ajili ya safari yake ya mwisho hapa  Dunia 

 Mwili wa marehemu Catherine Mussa Muda mfupi baada ya kuwasili nyumba kwa mume  kwake  toka hoptali ya wilaya ya kahama 

 Vijana wakishusha mwili wa marehemu  catherine mussa toka Ndani gari baada ya kuwasili toka hospital 

 Muda mfupi  baada ya mwili wa marehemu catherine mussa kuwasili nyumbani mchungaji alianza sara kwa ajili ya marehemu catherine mussa kwa ajili ya kuanza safari ya kwenda kwao kijiji cha  Sengerema jijini mwanza  kwa ajili ya maziko 

 Jamaa wakiwa wamebeba jeneza la  mwili wa marehemu catherine musa wakati wa kuwasili nyumba kwa mume wake majengo kahama 

Waombolezaji 

Safari ya kwenda mji wa Sengerema kwa ajili ya maziko ya shemeji yetu mpendwa catherine mussa ilianza mchana 

 Hivi ndiyo Safari ya kwenda Sengerema kwa ajili ya maziko ya mpendwa wetu cathaerine mussa 

Safari ya kwenda Sengerema  kwenye nyumba yake ya milele 

 Ndugu na jamaa na majira wakiwa na udhuni kubwa kwa kuunga mwili wa ndugu yao catherine Mussa 

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply