sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » KIMENUKA MBUNGE CHANZO CHA KUCHELESHA MAKAO MAKUU YA MSALALA



 Mbunge wa msalala Ezekiel Maige Ndiyo chazo kikubwa cha kucheleweshwa kwa Makao makuu ya Halmashauri ya masalala 


 Alishika  Maiki ni MBUNGE wa  Jimbo la msalal Ezekiel Maige nyuma yake ni waziri wa Habari na michezo na Utamanduni Nape Nauye 

 Mh Mbunge Maige akiwa na kikundi cha ngoma za utamanduni LA Kabila la waswezi  huku mwenye miwani waziri wa habari michezo na utamanduni Nape Nauye 

 Baadhi ya wakazi wa jimbo la msalala 

Mbunge wa jimbo la msalala Ezekiel Maige mwenye kazu nyeupe 

May 24
, 2016.
MADIWANI wa Halmashauri ya Msalala Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga juzi walimtuhumu Mbunge wa Jimbo hilo Ezekiel Maige kuwa yeye ndio chanzo kikubwa cha kuchelewesha kupatikana  kwa makao Mkuu ya Halmashauri hiyo kwa kipndi cha miaka minne iliyopita.

Wakiongea kwa nyakati tofauti katika kikao maalum kilichojumuisha Madiwani wa Halmashauri hiyo, Wakuu wa Idara pamoja na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga John Mongela Madiwani hao walitoa shutuma hizo huku wakimtuhumu kiongozi huyo kuwagawa Madiwani hao pindi wanapokubalia sauala la Makao makuu.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply