sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » WAFANYABIASHARA WAVUTANA NA MKURUNGEZI JUU YA SOKO

 Baadhi ya wafanyabiashara wa matunda wakiwa hawajui hatima yao baada ya wilaya ya kahama kuwa na masoko mawili jambo ambalo linasababisha kuwa biashara zao kuwa ngumu kwa kukosa wateja kutojua wapi soko lipo kihalali 

 Hili ndiyo soko la Namanga  Ambalo limekuwa na mvutano mkubwa kati ya madiwani na wafanyabiashara wa soko la vumilia na Namanga. ambapo baadhi ya wafanyabiashara wamengawanyika sehemu mbili 

 Baadhi ya vibada vikiwa wazi vya kuuza ndizi na matunda vikiwa wazi sokoni hapa 

 Eneo la soko la Namanga likiwa wazi 

 Ndiyo meza ambazo  Hazina wafanyabiashara katika soko la Namanga 

 Baadhi ya Vibada vikiwa bado vinaendelea kutengenezwa huku baadhi ya meza zikiwa tupu 

 Baadhi ya wafanyabiasha wa samaki wakiwa hawana wateja huku kukiwa na mvutano mkubwa kati ya wanasiasa  wateja kuwa wandogo kutokana kungawanyika katika masoko mawili .

 Hali ya soko la samaki kama jinsi linavyonekana kutokuwa na wateja kama jinsi jamaa huyu akiwa anatarisha samaki kwa mteja wake 

 Tunateneza mboga samaki kwa usafi wa hali juu  katika utayarishaji  tofauti na soko la vumilia 

 Baadhi ya wapalua samaki katika soko la Namanga wakiwa katika kazi zao huku wakitoa malalamiko yao kwa kukosa wateja na kusababisha na  mvutano mkubwa mji kuwa na masoko mawili kumesababisha biashara hiyo kuwa ngumu 

Hivi ndivyo hali ya kukosa wateja wa soko la samaki kama inavyonekana katika soko la Namanga mjini kahama,jambo ambalo limekuwa likiwatia hasara kwa wafanyabiasha hao wa soko la Namanga.

 Samaki wakiwa  katika matenga baada ya kukosa wateja katika soko hilo kwa mvutano wa nasiasa 

 Yusufu Ndagaya akiwa katika majukumu yake ya kila siku katika soko la Namanga mjini kahama 

 Iddy juma akiongea na mwandishi wa habari juu ya mvutano wa soko hili la Namanga  na Vumilia
  

Wafanyabiashara wa soko la Namanga wilayani kahama mkoani shinyanga wamelalamikia mkurungezi wa  mji kwa kushindwa kufunga soko la vumilia,na kufanya biashara zao kuwa ngumu kutoka na mji kuwa na masoko mawili.,kinyume na utaratibu.

Hayo yalisemwa na baadhi ya wafanyabiasha wa samaki wabichi wakati wakiongea na  mohabmatukio  katika soko la samanga wafanyabiashara,hao walisema mkurungezi Anderson Msumba    alisema kuwa hilo siyo soko rasmi na kuomba wafanyabiashara wahamie soko la namanga na hapo hakuna soko hilo halipo kisheria.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply