![]() |
| Hizio ndiyo habari kwa wapanda pikipiki nchini tanzania |
![]() |
| Baadhi ya pikikipi zilizokamatwa na jeshi la polisi hapa nchini |
![]() |
| ubejaji wa mizingo kama hii ni hatari |
![]() |
| Pikipiki ambazo jeshi la polisi limezikamata kwa makosa mbalimbali hapa nchini |
![]() |
| Hizi ndizo hatari kwa wapanda pikipiki wakati walibebwa hakuna alivyaa kofia ngumu |
![]() |
| Hatari kama hizi kwa waandesha pikipiki |
![]() |
| Baadhi ya pikipiki zikiwa katika kituo chja polisi hapa nchini |
![]() |
| Mkuu wa kitengo cha usalama barabarani wilayani kahama Robert sewado akiwa na kijana mwenye kofia ngumu akiwa ameshikiliwa kwa kosa la kubeba abiria ambaye akuva kofia ngumu. |
![]() |
| Mkuu wa kitengo cha usalama barabarani Robert sewado akitoa maelekezo kwa vijana wanavuja sheria za barabarani wilayani kahama . |
![]() |
| Wakiwa wamekamatwa na askari wa kikosi cha usalama barabarani kwa kosa la kutovaa kofia ngumu |
![]() |
| Opereshi kamata pikikipiki kahama wanaovuja sheria za barabarani |











