kichanga kikiwa hospital ya wilaya ya kahama katika wodi namba 6 |
Afisa Maendeleo ya jamii katika hospital ya halmashauri ya mji alinda bwakea akieleza hali ya kichanga hicho kuwa ni nzuri kwa sasa |
Mwanamke moja mkazi wa kata ya wendele juu, wilayani kahama
shinyanga Consolath paschal limeokota
mtoto mchanga anayekadiriwa kuwa na wiki
moja katika poli la Msitu wa wendele wilayani hapa.
Akiongea na nipashe consolath alisema ilikuwa majira ya
asubuhi saa tano nilikuwa nimekwenda kutafuta kuni wakati wa kwenda huko kwenye
huo msitu ambao upo mwisho na shule ya msingi wendele nilikutana na wanafunzi
wa shule hiyo wakaniambie kuwa kuna katoto mama kanalia huko polini.
Akifafanua zaidi consolath alisema baada ya watoto hao
kunieleza nilikwenda moja kwa moja mpaka hapo kalipo hapo katoto na kukakuta
kiwa kanalia sana, nao kalikuwa na njaa ya maziwa.na kukachukuwa hapo chini
kakiwa kamejisaidia.
No comments: