sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » ANGALIA MATUKIO YA MKUU WA MKOA WA SHINYANGA ALICHOFANYA KAZI MGODI WA BULYANHULU

 Huu ndiyo ulikuwa msafara wa mkuu wa mkoa wa shinyanga Zainab Tellack kwenye mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu 


 Mkuu wa mkoa na kamati ya ulinzi ya mkoa na wilaya wakisubiri kufunguliwa kwa chumb cha kuhifadhia dhahabu katika mgodi wa Bulyanhulu 

Sitaki mchenzo twendeni mpaka hapo nimesema mimi hayo ni maneno ya mkuu wa mkoa wa shinyanga Zainab Tellack 


Nachungulia kuona kama kuna mtu humo ndani nawenza kuhamisha mali nzetu mkuu wa mkoa 

Na sema Fungua mlango hapa sina mchenzo  kwa hili hayo ni maneno ya mkuu wa mkoa 

Hiki ndiyo chumba  kikuu cha kuhifadhia dhahabu ambapo kilishindwa kufunguliwa siku ya kwanza na kuwekwa ulinzi mkali na mkuu wa mkoa wa shinyanga 

Kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa shinyanga na kahama wakiteta jambo  nje ya chumba cha kuhifadhia dhahabu na kuwekwa ulinzi mkali 


Hali ya sita fahamu ilikuwa hivi katika mgodi wa dhahabu Bulyahnulu 


Ulinzi mkali 


Askari wa jeshi la polisi wakiwa katika ulinzi mkali wa kuangalia chumba cha kuhifadhia dhahabu kutoloshwa kwa mali  yetu 

 Fungua haraka 

Wafanyakazi wa mgodi wa dhahabu wa bulyanhulu wakiwa chini ya askari polisi kufungua chumba kuhifadhia dhahabu 

 Mama nafungua hakuna shida 

 Baada ya kufungua chumba cha dhahabu 

 Weka hapa tuone wote maneno ya mkuu wa mkoa wa shinyanga 

Pima tuone kilo gapi hapa 

Mwaandishi wa star tv shabani alley akiwa  amebeba kitofari cha dhahabu kwenye mgodi wa bulyanhulu 



Tumeona na kujirizisha sasa fungeni huu mlango wenu 

 Afisa utumishi  wa Halmashari ya msalala Mary  Nziku wakibadilishana mawanzo 



Chenzea serikali ya magufuli weeeee acha tu 

Tunalinda mali 

Funga twende wacha mchenzo hapa ni maneno ya askari alipewa jukumu la ulinzi eneo hilo 

 Tupo vizuri kwenye kulinda mali Songea mbali hapa 

Serikali mkoani Shinyanga  imezuia usafirishaji na uyeyushaji wa Dhahabu katika migodi ya  ACACIA Buzwagi  na Bulyanhulu mpaka maelekezo yauatakapotolewa na serikali.

Akizungumuza na uongozi wa migodi hiyo katika ziara ya kushtukiza  mkuu wa mkoa wa shinyanga ZAINAB TELLACK amesema kuwa  licha ya kusimamisha usafirishaji na wa madini kwenda nje na uyeyushaji wa Dhahabu  bado watatakiwa kuendelea kufanya uzalishaji kama kamawaida.

Alisema kuwa serikali kwa sasa hawaamini kile ambacho kinazalishwa na ndicho kinachotolewa taarifa kwani udanganyifu umeonekana tangu mwanzo ambapo mchanga wa madini uliokuwa ukisafirishwa kwenda nje ulikuwa na mkanganyiko wa vipimo kwani uzito ulionekana kuwa mkubwa tofauti na kile kilichpo kwenye makaratasi.

Aidha pamoja na kuzuia  usafirishaji na uyeyushaji  bado amekuwa na wasiwasi na minzani inayotumika katika kupima uzito wa dhahabu  ambapo ameagiza wakara wa vipimo kupima upya dhahabu iliyopo ili kuona ukweli kuhusu kama inawiana na uzito uliotolewa taarifa.

Aidha katika hatua nyingine TELLACK amesema kuwa hakuna kuanza uyeyushaji, upakiaji wa dhahabu katika maboksi ya kusafirishia au kupandisha kwenye Ndege bila kuwepo kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ili kuona kile kinachokwenda nje nisahihi

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply