sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » IGP SIMON SIRRO AWAONYA JESHI LA POLIS NCHINI

  MKUU WA JESHI LA IGP SIMONI SIRRO Na MAKANDA WA MKOA WA   SHINYANGA NYUMA SIMONI HAULE NA JUMANNE MURILO JUMANNE KWENYE KIKAO NA VYOMBO VYA HABARI MKOANI SHINYANGA 
 BAADHI YA MAKAMANDA WA JESHI LA POLISI MKOANI SHINYANGA 
 MKUU WA POLISI WILAYANI KAHAMA MUSSA MCHENYA AKIWA  AMESIMA WAKATI WA UGENI WA IGP MKOANI SHINYANGA 
 ASKARI WA KIKOSI CHA KUTULIZA GHASIA MKOANI SHINYANGA WAKITOA HESHIMA KWA MKUU WA JESHI LA POLISI SHINYANGA 
 BAADHI YA ASAKARI WAKIONDOKA ENEO LA MKUTANO NA IGP MKOANI SHINYANGA 
 MKUU WA POLISI KAHAMA AKISALIMIANA NA BAADHI YA WANDISHI WA HABARI MKOANI SHINYANGA WALIFIKA KUONANA NA IGP SIMON SIRRO

SHINYANGA 
 
Mkuu wa jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amewaagiza Askari wa jeshi la polisi mkoani Shinyanga kufanya kazi bila woga kwa kushirikiana na vikundi vya ulinzi shirikishi.

Hayoalisema wakati akiongea na waadishi wa habari wakati wa ziara yake ya siku moja mkoani hapa na kusema kuwa  kuwasaka na kuwakamata watu wote wanaohusika katika mauaji ya vikongwe na kuwachukulia hatua huku akisisistiza kufanya kazi kwa nidhamu na uweledi hali ambayo ameitaja kuwa itapunguza vitendo vya uhalifu katika mkoa wa Shinyanga
Aidha IGP sirro alisema kuwa mimi nimekaa hapa muda mrefu naomba sana kuakikisha ushiriki wa vikundi vya ulinzi shirikishi kwa uadilifu mkubwa wa kufanya kazi bila kunyanyasa wananchi na kuwapa makosa siyo yao alisema IGP simon sirro.
                
                TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply