sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » RAIS MAGUFULI AENDELEA KULETA NEEMA KIGOMA, AZINDUA MRADI MWINGINE WA MAJI NGURUKA


Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli ameendelea kuleta neema mkoani Kigoma ambapo leo hii Julai 23, 2017, amezindua mradi mwingine wa maji wilayani Nguruka baada ya kufanya hivyo Julai 22, 2017 kwa kuzindua mradi mkubwa wa maj safi na maji taka Manispaa ya mji wa Kigoma-Ujiji. Rais yuko kwenye ziara ya kikazi mkoani humo. (PICHA NA IKULU)


Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akikagua tanki la akiwa kuhifadhia maji toka mto Maragharasi kabla ya kuweka jiwe la msingi la maradi huo utakao hudumia waananchi wa Nguruka Uvinza mkoani Kigoma,kushoto kwa Mhe Rais  ni  Waziri wa Maji Mhandisi Gerson Lwenge. Julai 23,2017.


Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisisitiza jambo akiwa kwenye mikutano yake mbalimbali ya njiani aliyosimma uili kuzungumza na wananchi wa vijiji vya mkoa wa Kigoma akielekea Mkoani Tabora kuanza Ziara ya KIserikali Mkoani humo, Julai 23,2017.Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimsikiliza mwenyekiti wa kijijji cha Uvinza Ndugu Nilisi Noa Ntabai alipokuwa akieleza kero ya maji ya eneo hilo la uvinza ikiwemo kusimama kwa kiwanda cha chumvi Uvinza ambacho kilikuwa tegemeo kwa wananchi wa eneo hilo,ambapo Mhe,Rais amewaahidi wananchi hao kumtuma Waziri wa Viwanda na Biashara kushughulikia tatizo hilo. Julai 23,2017.


Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akisisitiza jambo akiwa kwenye mikutano yake mbalimbali ya njiani aliyosimma uili kuzungumza na wananchi wa vijiji vya mkoa wa Kigoma akielekea Mkoani Tabora kuanza Ziara ya KIserikali Mkoani humo, Julai 23,2017.Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wananchi wa Nguruka Uvinza Mkoani Kigoma,wakati wa uwekaji wa jiwe la Msingi la Ujenzi wa Tanki la Kuhifadhia Maji kwaajili ya Wananchi wa Nguruka. Julai 23,2017.
Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwasalimia Mamia ya  Wananchi wa Nguruka Uvinza Mkoani Kigoma mara baada ya kuhitimisha kuwahutubia wakati wa uwekaji wa jiwe la Msingi la Ujenzi wa Tanki la Kuhifadhia Maji kwaajili ya Wananchi wa Nguruka Julai 23,2017.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply