sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » WAZIRI UMMY AZINDUA ZAHANATI NGUVUMALI JIJINI TANGA

Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu
katika akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Zahanati ya Kata ta Nguvumali
leo kulia ni Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku kushoto
ni Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa  na wa kwanza kushoto ni
Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena
Said.
Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu
katika akisisitiza jambo kwa Muuguzi wa Afya wa Zahanati ya Nguvumali
baada ya kuizindua kushoto ni
Mganga Mfawidhi wa Zahanati hiyo,Dkt Ally
Bughe
Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu
akizungumza katika uzinduzi huo kushoto ni Mkuu wa wilaya ya
Tanga,Thobias Mwilapwa na kulia ni Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj
Mustapha Selebosi ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Nguvumali na wa kwanza
kulia ni Mbunge wa Jimbo la Tanga(CUF)Alhaj Mussa
Mbaruku
Mbunge wa Jimbo la
Tanga(CUF)Alhaj Mussa Mbaruku akizungumza katika halfa
hiyo
Mstahiki
Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj Mustapha Selebosi ambaye pia ni Diwani wa
Kata ya Nguvumali akizungumza katika hadhara hiyo kulia ni Mbunge wa
Jimbo la Tanga,Alhaj Mussa Mbaruku
Mkurugenzi wa Jiji la Tanga,Daudi Mayeji
akizungumza katika halfa hiyo
Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu
akisalimiana na madiwani wa Jiji la Tanga mara baada ya kuwasili katika
zahanati hiyo kushoto ni Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj Mustapa
Selebosi
Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu
kushoto katikati ni Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga,Alhaj Mustapha
Selebosi kulia ni Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa
Mbaruku
Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Ummy Mwalimu
akipanda mti wa kumbukumbu mara baada ya kuzindua zahanati hiyo
leo
Mbunge wa Jimbo la
Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku akipanda mti kwenye zahanati hiyo mara
baada ya kuzinduliwa na Waziri
Ummy.
Wananchi kutoka maeneo mbalimbali
Jijini Tanga wakifuatilia uzinduzi huo
Waheshimiwa madiwani kutoka Kata
mbalimbali Jijini Tanga wakifuatilia uzinduzi huo
Wananchi wakifuatilia uzinduzi huo
Wananchi kutoka maeneo mbalimbali Jijini Tanga wakifuatilia uzinduzi huo
Msanii wa maigizo mkoani Tanga ,Dkt Njau akionyesha umahiri wake katika uzinduzi huo Picha kwa hisani ya KHALFAN SAIDI 

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply