sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » WACHIMBAJI WANDOGO WA DHAHABU WAVAMIA MASHAMBA KAHAMA

haya ni moja ya mashamba yalivamiwa na wachimbaji wandogo katika kata ya zongomera mtaa wa mwime wilayani kahama 


 Mwenyekiti wa wachimbaji mkoa wa shinyanga Nicodemasi majambi akiongea na wachimbaji wandogo baada ya kuvamia mashamba pamoja na muwekezaji ambaye ana  hati ya kumiliki eneo hilo la ilindi

Mama huyo akiwa anaosha mchanga unaosadikiwa kuwa na dhahabu katika machimbo mapya ya mwime ilindi wilayani kahama hivi karibuni 

Huu ndiyo umati wa wachimbaji wandogo walivamia mashamba na ukosefu wa vyoo ni hatari sana kwa afya zao 

 Wachimbaji wandogo na afisa madini sudi jemes mwenye shati la mikono mifupi na kofia akiangalia uvamizi huo ambao siyo halali 

 Eneo la machimboni wachimbaji wakiwa wameweka uzuio kwa ajili ya usama wa mawe yao hapo machimboni 

 Ukataji wa magongo ni chanzo cha huaribifu wa mazingira kama jinsi magongo yalivyovuwa 

Haya ndiyo mashamba yalivamiwa katika mtaa  wa mwime mji wa kahama 

uahalibifu wa mazao 

Shunghuli za uchimbaji zikiwa zikiendelea ilindi mwime 


 Afisa  usalama wa madini kahama Sudi jemes akiongea na wachimbaji eneo hilo la ilindi 

 Mazao yaliaharibiwa 


 Mifuko ya mawe yanasadikiwa kuwa na dhahabu kati machimbo mwime ilindi 

 Baadhi ya machine ya kuchoronga mawe chini ya mashimo katika machimbo ya mwime ilindi 


Baadhi ya Mahema ya wachimbaji na mashimo yao wakiwa wanafanya kazi huku mifuko ikiwa na mawe yanasadikiwa kuwa na dhahabu


KAHAMA 

Hivi karibu wilayani kahama mkoani shinyanga kumeimbuka machimbo ya dhahabu katika kata ya zongomera mtaa wa ilindi mwime na kusababisha malumbano makubwa kati ya wenye mashamba na muwekezaji jambo ambalo limelita msunguano.

Aidha akiongea na Mohabtv online mwenyekiti wa mtaa wa ILINDI MWIME Anderia josepha  alisema kuwa machimbo haya ni kikundi cha mwime ambapo kimesajiliwa na huyu muwekezaji amevamia eneo hili.

Jesepha alisema suala muwekezaji huyo ni mtapeli kwa kuwa sisi tumelifikisha kwa mkuu wa wilaya hata hivyo mkuu wa wilaya alikuwa akiwatete hao wawekezaji jambo ambalo siyo sahihi kuwa eneo hilo lao  
                            
                            TAZAMA VIDEO HAPO CHINI

 

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply