![]() |
| kamanda wa polisi mkoa wa shinyanga Simon Haule Akionyesha siraha ilikuwa inatumika na majambazi |
![]() |
| Haya ndiyo mabomu walikutwa nayo mabomu mawili ya kutupa kwa mkono |
![]() |
| eneo ambalo majambazi walikuwa maficho yao |
![]() |
| Kamanda simon Haule akiangalia moja ya korongo la maficho ya majambazi |
![]() |
| Risasi, mabomu. bunduki zilizotumika kwa uhalifu ambapo walikuwa wanakwenda kufanya shambulio |
![]() |
| Baadhi ya wananchi walifika chuma cha kuhifadhi maiti katika hospital ya mji wa kahama |
![]() |
| Wananchi wakiangalia miili ya majambazi walioletwa chumba cha kuhifadhi maiti kahama |
![]() |
| Moja ya siraha ilikuwa inatumika na majambazi |
![]() |
| Kamanda wa polisi mkoa wa shinyanga akichungulia moja ya korongo eneo la mwanva |
![]() |
| Moja ya ganda la risasi zilizotumika kwa kurushiana risasi |
![]() |
| eneo la tukio katika chuo cha mwanva mjini kahama |
![]() |
| eneo la mapambano na damu |












