Dec 8,2013
Shinyanga
Abiria wenye hasira
walimzomea askari wa usalama barabarani katika standi kuu ya mabasi mjini shinyanga baada ya kuliruhusu basi lililozuia kwa kosa la kuwahi kabla ya
muda uliopangwa.
Basi hilo mali ya kampuni ya zuberi bus services ltd
lilokamatwa na askari trafiki mwenye cheo cha koplo linalosafiri kati ya Dar na mwanza liliwasili shinyanga saa 1,25 badala ya
saa 2 usiku.
Tukio hilo lililotafsiliwa
kama matokeo ya rushwa ,lilivuta hisia
za watu wengi walitaka kujua hatima ya basi hilo na mtafaruku wa abiri wa
kupinga dereva hiyo kuachwa katika mazingira ya utata bila ya kuchukuliwa hatua
yoyote .
Askari mwenye
cheo cha koplo alingilia kati kurizui basi hilo lililovunja sheria za usalama barabarani kwa kuwahia kabla ya muda huliopangwa.
Baada ya mkufokea
askari mwenzake mkuu huyo alimruhusu
dereva wa basi andoke na kuendelea na
safari jambo ambalo lilipingwa vikali na abiri wa basi hilo.
Moja wa Abiria hao wadai alijitabulisha kwa
jina moja juma athumani alisema kuwa
wamepinga simu jeshi la polis hilo ili kumshitaki Dereva wa basi hilo toka
singida kwa kitendo kuendesha gari kwa mwendo
kasi hulikuwa wa hatari na uliohatarisha maisha yao.
‘ii ni rushwa ya wazi nam hii tutafia barabarani kwa wingi wa
ajali kama tarfiki watawalinda
madereva wazembe kiasi hicho “Alisema
moja wa abiria
Zongo hilo lilizidi pale
raia wema walipolivalia njunga sakata
hilo kwakumrazimisha dereva wa hiyo asiondoke
hadi amechuliwa hatu.
Hata hiyo baada ya muda
dereva huyo aliingia kwenye basi hilo na
kuwataka abiria wake kuendelea na safari kuwa madai amemalizana na
askari huyo kiongozi.
Nipashe ili mtafuta
kamanda wa usalama barabarani mkoa wa shinyanga (RTO)Desdery lugimbana alikili
kupokea taarifa za basi hilo la zuberi namba T 680 AWJ aina ya schania ambalo
lifika shinyanga sandi saa1.25 jioni kuwa mimi nipo safari nikirundi nitalifanyia
kazi .
MWISHO
.
No comments: