Kahama
Jumla ya wanadoa 54 wamefunga ndoa
za kihistoria ya mwaka wa imani katika parokia ya kahama mjini.
Ndoa hizo zilifungwa jumapili hii
katika kanisa la roma katoliki parokia ya mtakatifu karoli lwanga mjini
hapa.
katika ndoa hizo zilizokuwa na
fulaha kubwa ambapo kulikuwa na wanandoa tofauti wazee na vijana.
Aidha katika maazimisho ya mwaka wa
imani ulitangazwa kufunguliwa rasmi na Baba mtakatifu Benedicto XVI tarehe
11.10.2012.katika ibadaya misa maalumu iliyoadhimishwa katika Basilika la
mtakatifu petro roma huu wa imani unaomalika tarehe 24.11.2013.
Katika mahazimisho ya ndoa hizo
ziliwacha waaumini wakiwa na fulaha kubwa wakati Baba paroko padre Rogatus
malulu alifulaishwa sana na kuona wandoa Edward Dalali( 70)na mke wake
Catherine sonzy (65)wakazi wa kijiji cha Busoka wilayani kahama.
Baba paroko alifafanua suala la
kuhusu ndoa hizi kwa imani ya wakatoliki ni muhimu sana kwa kupokea imani yako
katika imani yako na hasa mkatoliki ni jambo bora sana pia amewataka kufunga
imani yao.
Aidha Baba paroko Rogatus alisema
kuwa lengo la mwaka wa imani ni kuamsha katika kila mwamini hamu ya
kukiri imanikikamilifuna kwa imani mpya kwa kujiamini na matumaini na
unaohimiza uinjilishaji mpya kwa ajili ya kueneza imani ya kikristo katika
jimbo.
Mwisho
bwana na bibi arusi edward dalali
(70 )akiwa mke wake catherine sozy (69) mbele baba padre rogatus malulu
akifungisha ndoa changua moja bora
No comments: