headlines

    9:53 PM

sponsor

sponsor

Slider

  1. 1
  2. 2
  3. 3
  4. 4
Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» »Unlabelled » JIWA HALETA KIZAZA MAHAKAMANI WA WAFASI WA CHADEMA WADUAA
 Mohab Dominic

 JIWA MOJA AMBAYE AKUJULIKANA ALITOKA WAPI KATIKA MAHAKAMA YA WILAYA YA KAHAMA  KABLA YA KUPEWA KWA DHAMANA KWA WAFASI WA CHADEMA NA MBUGE WAO SLYVESTER KASULUMBAYI

 MBUGE WA MASWA SLYVESTER KASULUMBAYI WAKIWA NA VIONGOZI WA CHADEMA WILAYA YA KAHAMA NA MWENYEKITI  JUMA PROTEX WAKITOKA MAHAKAMANI BAADA YA KUKIDHI HATI YA  DHAMANA
 MBUGE WA MASWA SLYVESTER KASULUMBAYI WAKIONYESHA VIDOLE JUU WAFASI WAO BAADA YA KUPEWA DHAMANA
 WAKIWA NA FURAHA BAADHI YA VIONGOZI WA WILAYA WA CHAMA CHA MAENDELEO NA DEMOKRASI CHADEMA WAKITOKA NJE YA MAHAKAMA YA WILAYA
 HIVI NDIYO HALI YA KUWA HURU KWA MBUGE WA MASWA MASHARIKI KWA TIKETI YA  CHAMA CHA DEMOKRASIA MAENDELEO  CHADEMA
 BAADHI YA WAFASI WA  CHADEMA WAKIWA NA FURAHA BAADA YA WEZAO KUPEWA DHAMANA
 HATA HIVYO PIKIPIKI NAZO ZILIKUWEPO KWA  MAPOKENZI  KWA KWENDA OFISINI KWAO
 HIVI NDIYO BAADHI YA BARABARA TOKA MAHAKAMA YA WILAYA YA KAHAMA KWENDA KATIKA OFISI YA CHADEMA BAADA YA MBUGE KUPEWA DHAMANA
 HII NDIYO HALI YA MAHAKAMANI LEO
 MANDAMANO YA BODA BODA NAYO HAYAKUWA MBALI KWENYE MSAFARA WA CHADEMA
 HAWA NDIYO CHADEMA BANA .....WEWE CHENZEA WEWE,,,,,

 CHENZEA NGUVU YA UMMA WEE ACHA TU ,,,,,,,
 NDIVYO MSAFARA WA CHADEMA HULIKUWA MJINI KAHAMA
WEWE ACHA NGUVU YA UMMA MAHAKAMANI

«
Next
CCm wapeta kwa kura 323, Chadema kura 219, Tadea 98 Katika uchanguzi wa kata 27 ccm wameshida kata 23,chadema kata 3 na Nccr kata 1
»
Previous
HEKA HEKA MAHAKANI CHADEMA NA MH MBUGE WA MASWA MASHARIKI CHADEMA
Pages 22123456 »

No comments:

Leave a Reply