sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» »Unlabelled » UJENZI WA KANISA LA HUDUMA WA MLIMA WA MAKIMBILIO KUGHALIMU ZAIDI YA MILIONI 250

 Mmoja wa jengo kubwa la kanisa la huduma la mlima wa makimbilio ambapo linatalajia kugharimu zaidi ya milioni 250 katika ujenzi huu kanisa hili lipo mjini kahama eneo la  nyahanga
 picha ya jengo la kanisa la huduma la mlima wa makimbilio ambapo baba askofu rizik esrom amesema kuwa ujenzi wa kanisa hilo huenda hukagharimu zaidi ya milioni 250 na zaidi katika ujenzi huu
 Jinsi muonekano wa ujenzi wa kanisa la huduma la mlima wa makimbilio jinsi ilivyo
 Kimbao cha kanisa la huduma la mlima wa makimbilio mjini kahama maeneo ya nyahanga igomelo
 Kanisa la huduma la mlima wa makimbilio ambalo nili dogo hivi sasa waumini wao wanasalia humo kutokana na ujenzi wa kanisa lao jipya  ambalo unaendelea kwa sasa
Ukubwa wa eneo la kanisa la huduma la mlima wa  makimbilio ambapo jana walitoa vifaa mbali mbali kwa ajili ya watoto yatima na wajane kwa mkuu wa wilaya ya kahama vyenye dhamani ya milioni 14.5 kwa mayatima na wajane ambapo baba askofu rizik esrom alisema kuwa huo ni mwanzo wa misaada tu kwa kuona njisi gani wamenguswa na suala la kusaidi makundi hayo alisema baba askofu

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply