sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» »Unlabelled » KAHAMA WAZINDUA RASMI MATANGAZO YA TELEVISHENI YA MFUMO WA DIGITAL

 Mkurungezi wa stastion ya matangazo ya star time kanda ya ziwa Alx Al wakati akitoa taarifa ya ujenzi wa mitambo ya digital wilayani kahama wakati wa uzinduzi huo
 Mkuu wa wa wilaya ya kahama Benson Mpesya ambaye ameweka mikono mfukoni akipewa maelekezo na mtaalamu toka star time mwenye maiki mkononi Fernedinad  Tilasi jinsi ya mitambo hiyo inavyofanya kazi
 Mkurungezi mkuu wa  idara ya utangazaji  wa Tcra  mwenye tisheti ya blue Habbi nguze akiwana na lawi odiero meneja wa kanda  wa ziwa wa Tcra
 Meneja wa kanda wa Trca  Lawi odiero akiwa na mkurungezi wa utangazaji wa Tcra Habbi nguze katika majandiliano kabla ya uzinduzi wa mitambo ya digital wilayani kahama
 Mkuu wa wilaya ya kahama Benson Mpesya akipokelewa na mkurungezi wa utangazaji wa Tcra Habbi nguze wakati alipowasili katika viwanja vya mitambo ya star time kwa ajili ya uzinduzi huo
 Afisa Habari wa mamlaka ya  Tcra Enocet mungi akisalimiana na mkuu wa wilaya ya kahama Benson Mpesya kwenye viwanja vya mitambo ya star time mjini kahama
 Mkurungezi wa idara ya utangazaji  wa Tcra Habbi nguze wakati akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa mitambo mipya ya dital mjini kahama kulia ni mkuu wa wilaya ya kahama
 Hili ndiyo bango ambalo linaonyesha rasmi uzinduzi wa matangazo ya televisheni kwa mfumo wa digital mjini kahama
 Kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya kahama waliokaa na alisheka kipaza sauti ni mkurungezi wa idara ya utangazaji Habbi nguze wakati wa mkukaribisha mkuu wa wilaya ya kahama
 Afisa wa habari wa Tcra Enocet mungi akitoa taarifa kwa wangeni walifutanano kutoka mamlaka hiyo ya Tcra 
 Mkuu wa wilaya kahama Benson Mpesya  akibonyeza kitufe kuashiria ufunguzi wa mitambo hiyo
 Kijana ambaye ameshika kipaza sauti Fernidinad Tilasi ya jinsi mitambo hiyo hinavyo fanya kazi wakati wa uzinduzi huo
 Meneja wa star time kahama Joshua Philipo mwenye tisheti ya star time  ambaye anaonyeasha kindole ni mtaalamu wa mitambo hiyo Ferndinadi Tilasi akipewa aelekezo ya jinsi  ya mashine za kulepa ubaridi ndani ya vyumba vya mitambo hiyo
 Mtaalamu wa mitambo ya star time Ferndinadi Tilasi akitoa maelezo mbele ya mkuu wa wilaya kahama mwenye suti Benson Mpesya wakati wa uzinduzi wa mitambo hiyo
Hii ndiyo mitambo ya digital ambayo ipo kwa sasa wilayani kahama
Mkuu wa wilaya kahama Benson Mpesya  akiwa na mkurungezi wa star time Alxz AL wa kanda ya ziwa

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply