MGENI RASM MKUU WA WILAYA YA KAHAMA BENSON MPESYA WAKATI WA UZINDUZI WA ALBMU YA NYIMBO ZA IJILI MJINI KAHAMA
MUIMBAJI WA NYIMBO ZA IJILI FROLA KITULO AKINGIA KATIKA VIWANJA VYA KANISA LA EAGT KATIKA UZINDUZI WA ALBMU YA NAINUA MIKONO YANGU JUU
MUIMBAJI FROLA KITULO AKIWA JUKWAANI KATIKA UZINDUZI WA ALBMU YAKE MPYA YA NAINUA MIKONO YANGU JUU MJINI KAHAMA LEO
MKUU WA WILAYA YA KAHAMA BENSON MPESYA AKIWA NA MCHUNGAJI MWENYEJI REV PAULO M BUSUNGU WAKATI WA UTAMBULISHO WA ALBMU MPYA FROLA KITULO MJINI KAHAMA
MUIMBAJI WA NYIMBO ZA IJILI FROLA KITULO AKIWA JUKWAANI AKIMBA WIMBO WAKE WA NAINUA MKONO YANGU WAKATI WA UZINDUZI HUU
MKUU WA WILAYA YA KAHA BENSON MPESYA AKIWA JUKWAANI NA WAIMBAJI WA WA FROLA KITULO WAKATI WA UZINDUZI HUU KULIA MWENYE BLAUZI NYEUZI NI MUIMBAJI HUYO FROLA KITULO KATIKA VIWANJA VYA KANISA LA EAGT MJINI KAHAMA
MKUU WA WILAYA YA KAHAMA BENSON MPESYA NA MCHUNGAJI MWENYEJI REV PAULO M BUSUNGU
BAADHI YA WAAUMINI WAKIWA KATIKA VIWANJA VYA KANISA LA EAGT WAKATI WA UZINDUZI WA ALBMU YA NAINUA MKONO YANGU JUU FROLA KITULO
UMATI MKUBWA HULIFULIKA KATIKA VIWANJA VYA KANISA LA EAGT KATIKA UZINDUZI WA ALBMU YA NAINUA MIKONO YANGU JUU YA FROLA KITULO AMBAYE HAYUPO PICHANI
MKUU WA WILAYA YA KAHAMA AKIKATA UTEPE WA UZINDUZI WA ALBMU YA FROLA KITULO YA NAINUA MIKONO YANGU JUU
MKUU WA WILAYA YA KAHAMA ALIINUA MIKONO JUU KUASHIRIA UZINDUZI WA ALBMU YA FROLA KITULO
MGENI RASM MKUU WA WILAYA YA KAHAMA BENSON MPESYA AKIWA NA MWENJI WAKE MCHUNGAJI MWENYEJI REV PAULO M BUSUNGU KATIKA VIWANJA VYA KANISA HILO
UMATI WA WAAUMINI WA KANISA LA EAGT WAKISHUNDIA UZINDUZI WA ALBMU YA NAINUA MIKONO YANGU JUU YA FROLA KITULO
FROLA KITULO AKIWA JUKWAANI NA WAAIMBAJI WAKE WAKATI WA UZINDUZI WA ALBMU YAKE MPYA YA NAINUA MIKONO YANGU JUU
MSHERESHAJI AU MC TOKA JIJI MWANZA UPENDO WEJA WAKATI WA UZINDUZI WA ALBMU YA FROLA KITULO KATIKA VIWANJA VYA EAGT MJINI KAHAMA
FROLA KITULO AKIWA JUKWAANI NA WAAIMBAJI WAKE WAKICHENZA NA KUIMBA NYIMBO ZAKE
BAADHI YA KWAYA MBALI MBALI ZISHIRIKI KATIKA UZINDUZI WA ALBMU YA MPYA FROLA KITULO
Na Mohab Dominick
kahama
Serikali wilayani kahama imesema kuwa waumini wanatakiwa kujitole katika mambo yanausu mambo ya mungu kuchangia mambo mbalimbali juu ya huduma ya mungu.
hayo yalisemwa na mkuu wa wilaya ya kahama benson mpesya katika uzinduzi wa albmu ya muimbaji frola kitulo katika viwanja vya eagt.
akiongea katika uzinduzi wa albmu hiyo mkuu wa wilaya alisema kuwa ni jambo la heshima kujitoa ni sandaka.
aidha katika albmu hiyo frola akisoma risara hiyo alisema kuwa ni matatizo mengi moja wapo ni kukosa vyombo vya mziki vyenye dhamani ya milioni kumi ambayo vitainua kutangaza neno la mungu.
akifafanua zaidi muimbaji huyo katika risara hiyo aliomba mkuu wa wilaya ya kahama katika ununuzi wa vyombo hiyo.
naye mkuu wa wilaya kahama aliadi kutoa shilingi milioni moja na alitoa shilingi laki moja hapokwa hapo kwa na waaumi walichangia mjula ya milioni 3 na hadi nyingi zaidi ya milioni 2
Flora Kitula yuko juu.
ReplyDeleteTamasha hili ni la pili kwa muimbaji huyu na liliweza kuhudhuriwa na watu kutoka pande zote za wilaya ya Kahama mjini na vijijini. Shukrani ziwaendee wote walioombea Tamasha hili na hususan Kamati ya maandalizi kwa. kazi kubwa waliyoifanya. Sifa na utukufu ni kwa bwana Yesu aliye hai.
ReplyDeleteBy Paul Seni- kny Kamati ya Maandalizi.