Baada ya madaktari wa hospitali ya rufaa ya Bugando
kupambana kuokoa maisha ya jamaa aliyefumaniwa na mke wa mtu huko Mwanza
hatimaye wamefanikiwa kumtoa shoka kichwani na hali yake bado mbaya yuko ICU
kwa uangalizi zaidi.KURADHI KWA PICHA HIZI
MADAKTARI BINGWA WA KICHWA WAKISHIRIKI KUOKOA MAISHA YA KIJANA ALIYEFUMANIWA NA MKE WA MTU JIJI MWANZA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA BUNGADO NA KUWENZA KUFANIKIWA KUTOA SHOKA HILO MARUFU KWA SOKOMOKO .KURADHI KWA PICHA HIZI
MADAKTARI WAPOTOA SHOKA MAHARUFU KAMA SOKOMOKO YA KUCHIMBIA DHAHABU KWA WACHIMBAJI WANDOGOWADOGO. KURADHI KWA PICHA HIZI
MADAKTARI WAMEFANIKIWA KUTOA SHOKA HILO LAKI HALI YA HUYO KIJA BADO NI MBAYA SANA YUPO CHUMBA MAALUMU ICU KATIKA HOSPITAL YA RUFAA BUGANDO .KURADHI KWA PICHA HIZI
No comments: