BAADHI YA WAPITA KWA MIGUU KATIKA BARABARA YA ISAKA ROAD WAKISHUHUDIA AJALI MBAYA YA PIKIKIPIKI NA ROLI LA MAWE .
BAADHI YA WATU WAKISHANGA JINSI AJALI HIYO ILIVYOTOKEA MAJIRA YA ASUBUHI SAA 2.30
PIKIPIKI AINA YA SANLG NAMBA T272 CNW AMBAPO ILIKUWA IMEPAKIA VIJANA WAWILI WALINGONGWA NA ROLI NAMBA T509 AVG MALI YA MKOLANI INVESTEMENT YA JIJI MWANZA .
PIKIPIKI AINA YA SANLG NAMBA T272 CNW IKIWA IMEHALIBIKA VIMBAYA CHINI
WANANCHI NA MASHUHUDA WA AJALI YA PIKIPIKI NA ROLI WAKIANGALIA AJALI HIYO
ROLI NAMBA T590 AVG MALI YA MKOLANI INVESTEMENT YA JIJI MWANZA ILIYOSABABISHA AJALI MBAYA LEO ASUBUHI MJINI KAHAMA LIKIWA LIMANDIKWA SITA ZA BOKO HARAMU .
BAADHI YA MASHUHUDA WA AJALI HIYO .
No comments: