sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA USHETU ANUSURIKA KUWAWA NA MAJAMBAZI

 mwenyekiti wa halmashauri ya ushetu juma kimisha  akiwa hospital ya wilaya ya kahama baada ya kunusurika na majambazi katika kijiji cha igusule wilayani nzega na kahama  kushoto kwenye benga likionekana jeraha la risasi alipingwa nyuma ya kiti na kumpata kwenye benga .
 mh juma kimisha akiwa hospital ya wilaya ya kahama  kushoto ni jeraha la risasi ambayo imo dani ya benga wakati  watalamu wajadili jinsi gani ya kuondoa risasi hiyo .
 mwenyekiti wa halmashauri ya ushetu  juma kimisha akiwa wodi katika hosptali ya mji kahama .
 mh juma kimisha akiwa na mke wake wodi kwa ajili ya kumfariji kwa janga hilo lilomkuta mume wake .
 baadhi ya madiwa walikwenda wodi kwa kumfariji mwenyekiti wao katika hospital ya wilaya ya kahama .
 dereva wa gari sm 10032 joseph dutu akiwa hospitali ya wilaya ya kahama akionyesha jeraha la panga kichwa.
 joseph dutu akiwa na jeraha la panga kichwa ambapo walivamiwa na jambazi katika kijiji cha igusule kati ya wilaya ya nzega na kahama ambapo majambazi takribani 20 yalivamia wakiwa wanatoka mkoani tanga majira ya saa 2.30 usiku shughuli hiyo ilichukuwa zaidi ya dakika 45.
 baadhi ya wakazi wa kahama mjini walifika hospital ya wilaya kujulia hali mwenyekiti huyo mwenye badaji mkononi .
 baadhi ya watumishi wa halmashauri ya ushetu na diwani wa kata ya nyakende mh doa  mwenye suti damu ya mzee  ana alisimama ni afisa wa tasfa, nyanda .

 hili dilo gari la halmashauri ya ushetu sm 10032ambalo lilikuwa likiendeshwa na joseph dutu  jinsi lilolibiwa sehemu ya vioo vya kushoto na nyuma .
 dereva wa gari sm 10032 mwenye badeji kichwani akitoa ufafanuzi jinsi walivyovamiwa na majambazi jana usiku katika kijiji cha igusule kati ya wilaya ya nzega na kahama .
hili ndiyo gari linavyoonekana likiwa ofisi ya mkurungezi wa shetu likiwa na tundu la risasi.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply