sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » FURSA TUFANIKIWE PAMOJA , AFRICAN BARRICK GOLD

 Baadhi ya wajasiliamali wa wilaya ya kahama na wasaani mbali mbali wakiwa katika ukumbi wa kapaya kwa ajili ya fursa tufanikiwa pamoja  wakishirikiana na  cloud fm katika fursa zinazoendelea wilani kahama hapa .
 Afisa utamanduni wa wilaya ya kahama julias kambarange wakati wa ufunguzi wa fursa tufanikiwe pamoja na cluoud fm na african barrick gold mjini kahama .
 Mkuu wa wilaya ya iramba yahya nawada akitoa soma kwa wajasilia mali walifika katika ukumbi wa kapaya hotel kwa ajili ya kupata fursa tufanikiwe pamoja na african barrick gold.
 Wadau wa habari nao walikuwepo kwa ajili ya kupata fursa ya tufanikiwe pamoja .
 Wajasilia mali wakisikilza mkurungezi wa cloud fm ruge mutahaba hayupo pichani katika semina ya siku mbili iliondaliwa na african barrick gold na cloud fm mjini kahama .
 Msani maarufu wasiti almas anaye alikuwepo katika semina ya ujasilia mali .
 Waadau wa fursa tufanikiwe pamoja na African barrick Gold
 kushoto ni msimamizi wa vipaji vya sanaa  african  seveni mosha  kati ni mkurungezi wa cluod fm ruge mtahaba na mwisho kulia ni mkuu wa wilaya ya  iramba   yahaya navada wakati wa semina ya wajasiliamali .

 Waadau wakiwa makini kusiliza semina ya ujasilia mali .
Msani maarufu wa bongo ( bad boy )ibrahimu mbwana akitoa jinsi haliyoingia katika fani ya sanaa hapa nchini .
 Mkurungezi wa cloud fm ruge mutahaba akitoa maelenzo juu ya ujasiliamali na hitoria ya cluod ilivyoanza .
 Mkurungezi wa carrabashi bety mhela akisaliamiana na meneja buzwagi african barrick gold filbet rweyemamu katika ukumbi wa kapaya .

 Mkurungezi wa cloud fm ruge mutahaba akita fursa kwa wajasilimali .
 karibu sana kahama hayo ndiyo maneno ya meneja wa buzwagi filbert rweyemamu wakati wakingia katika ukumbi wa kapaya akikaribisha mkurungezi wa cloud fm ruge mutahaba .
 Hali hii hunaonaje kaka watu wengi ndiyo maneno ya filbert rweyemamu kwa mgeni wake ruge mutahaba /
 msimamizi wa vipaji vya sanaa african seven mosha .
 wadau
 Mjasilia mali bety mhero akitoa somo kwa wajasilamali wangene hawapo pichani
 Mkuu wa wilaya ya iramba yahaya navada akitoa somo kwa wajasila mali .
 Mdau wa wajasila mali .
Wadau wa ujasilia mal

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply