Hili ndiyo Bango letu la matangazo opening soon karibu masai club
Wahudumu wakiwa na sura za tabasamu kama wanavyonekana .
Warembo wa masai club wakiwa na sura za tabasamu .
Mrembo huyu anapatikana masai club tu kwa huduma nzuri za vinywaji
Wewe wacha banaa hiyo ndiyo nyama choma , nyama ya mbuzi ,kuku,kuku choma samaki choma na ngo'mbe
Checki warembo wanavyoshuka katika ngazi kwa ajili ya huduma kwa wateja wao
Huu ndiyo ukumbi wa disco na burudani mbali mbali kwa mikutano na sherehe nyingine karibu masai club
Warembo wakiwa katika picha ya pamoja kabla kuanza kutoa huduma ya vinywaji na chakula .
We hacha tu wahudumu kama kawainda yao kupendeza wahi huduma nzuri na za kisasa
Check pozi hilo kaka hiyo club masai peeeee tu
Wewe bonge wacha utani wapi hiyo club masia kwa huduma zote bana .....
We hacha tu pozi dada huyu hii ndiyo masai club kwa starehe za uhakika
Nyama choma safi karibu masai club kwa ugali na watalamu wa nyama choma wahi sasa
Hii ndiyo club masai
Warembo wakiwa katika pozi
karibu masai club
Kwa vinywaji vya aina mbalimbali kama vile pombe kali zipo za kila aina
Hii ndiyo cauter yetu iliyo na bora wa vinywaji vingi tu
Hapa kama hunavyona winer mbalimbali masai club kwa raha zako wewe acha tu
Hii ndiyo madhali ya nje ya ukumbi wa masai club kahama wewe hacha kwa ulinzi safi wa magari na pikipiki hupo wa kutosha
Mkurungezi wa masia club erick akiangalia jinsi hali inavyokwenda kabla kuanza kazi rasmi leo
Masai wapo kwa ajili ya ulinzi wa magari na mali zako kama wanavyonekana hapo .
Nyama ya mbuzi ikiwa inatarishwa na watalaam walipobea kwa kazi hiyo .
Moja ya wahudumu wakitoa huduma kwa wateja wao mbalimbali
PI samaki choma kama kawainda wanvyonekana wahudumu wa jikoni walivyo wasafi kwa kazi yao
Meneja wa chakula hakiwa na sura ya tabasamu kwa ajili ya kupokea wateja wao
Hii ndiyo sehemu ya chakula safi kama mrembo huyu anavyotoa huduma ya chakula .
Wateja wakipata viwanji kwa raha zao
Hii ndiyo raha ya masai kama jamaa huyu alivyokuwa na furaha ya uzinduzi wa club masai
Warembo wacha tu hii ndiyo masai bannna ,,,,,,,,,,,,,
Wahudumu wa masia club jinsi walivyopendeza kweli
Wahudumu wakiwa na furaha wakati wa ufunguzi huo wa masai club
Hili ndiyo jengo la masia club kwa nje .
Wahudumu wa club masai wakiwa katika pozi .
Wahudumu wa masai club walivyo na sura ya tabasamu kubwa
Wewewe wacha tu
Bonge wewe acha tu jamaani .......
Hili ndiyo jengo la masai club ambalo lipo mjini kahama
Cauter ya viwanji
Wateja wa masai club wakiingia ndani ya club masai kwa ajili ya burundani mbalimbali
Kwa huduma ya chakula safi na huduma za vyakula mbali mbali samaki choma ,mbuzi choma ,kuku choma , wasilina nasi kwa namba zifutazo meneja mr chrish kwa namba 0773,337,197 kahama barabara kuu itokayo rwanda
No comments: