HUYU NI MWANAFUNZI MWENYE UMRI WA MIAKA
14, ALISHINDWA KUFANYA MTIHANI WA TAIFA WA DARASA LA SABA 2014 KWA SIKU YA PILI
TATEHE 11 SEPTEMBA HAPA JIJINI DAR ES SALAAM BAADA YA KUTEKWA NA MWANAUME NA
KUMFUNGIA NDANI KWAKE NA KUMBAKA NA KUSABABISHA MWANAFUNZI HUYO AMBAYE NI MTOTO
KUTOMALIZA MTIHANI WAKE WA MWISHO.....HATA HIVYO MTUHUMIWA AMESHILIWA NA POLISI
TANGU TAREHE 11SEPT NA HAJAFIKISHWA MAHAKAMANI.....MWANAFUNZI HUYU ANALIA SANA
CHANZO:SAM MAHELA
No comments: