Hili ndiyo basi la Allys star likiwa kituo cha polisi wilayani kahama baada ya raia wema kutoa ripoti ya basi hilo limebeba mbao ndani kwenye viti na abiria .huku afisa wa mistu mwenye shati jeupe mohamed Dossa akisimia kushushwa kwa mbao hizo .
Basi la Ally star likiwa kituo cha polisi kabla ya kutoa mbao hizi .
Maafisa wa maliasili wilayani kahama wakishangaa jinsi gani mbao hizo zilivyofichwa ndani ya basi la abiria vikiwemo vitanda na mbao
Hii ndiyo hali halisi wa maliasili zetu zinazoimbwa na wafanyabiasha kwa kupitia njia za panya bila kulipia kodi za mazao .
Afisa maliasili na mistu mohamed dossa mwenye shati jeupe akiangali mfanyakazi wa basi la allys star jinsi anavyozitoa mbao ndani ya basi kwa kupia ndirisha la basi hilo.
Mmoja wa wafanyakazi wa basi la allys star akitoa moja ya vitanda kwenye basi hilo muda mfupi baada ya basi hili kukamatwa kwa taarifa kwa raia wema huku baadhi ya abiria wakiwa wamedua .
Abiria wa basi la Allys Star toka wilaya bukombe mkoani Geita kwenda mkoa wa simiyu kupitia wilaya ya kahama mkoani shinyanga wakishangaa kuona basi hilo likiwa limebeba mzingo wa mbao nyingi kiasi hicho .
Baadhi ya shehena za mazao ya misitu yalikuwa kwenye basi hilo.
Hii ni shehena za mazao ya mistu ambazo azijalipiwa ushuru wa mazao likiwa kituo cha polisi kahama .
Hivi ni baadhi ya vitanda vilyokuwepo ndani ya basi la Allys star vikiwa vinatolewa kwenye basi hilo .
Maafisa wa maliasili wakifanya mahojiano na msimamizi wa basi hilo mwenye tishet nyekundu baada ya mbao hizi kushushwa kwenye basi hilo katika kituo cha polisi wilayani kahama .
Baadhi ya abiria wakiwa kituo cha polisi kahama baada ya kukamatwa kwa basi lao wakiwa safarini kwenda mkoa wa simiyu .
Hivi ndiyo Abiria wa basi wakiwa hawajui hatimaa yao wakati wamwfikishwa kituo cha polisi kahama ambapo basi hilo lilikuwa limepakia mbao ndani ya basi kinyume na sheria .
Wakinamama wakishanga jinsi basi hilo lipofika kituoni kwa ukanguzi .
Afisa wa maliasili Mohamed Dossa aliamuru msimamizi wa basi hilo mwenye tishet nyekundu kuukisha mbao hizi na vitanda vinashuka kwenye basi hilo
Baadhi ya Maafisa wa mazao ya mistu wakiakisha mbao hizo zingine kwenye buti ya basi zinashushwa chini .
Mfanyakazi wa basi la Allys star akishusha mbao hizo kwenye buti ya basi hilo
No comments: