sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » MTOTO ATUPWA CHOO BAADA YA KUJIFUNGUA



 kuradhi  kwa picha hii hivi ndivyo wasamalia wema waliowenza kumpoa mtoto huyo kwenye shimo la choo.

Tukio hili la kusikitisha limetokea Mkoani Iringa ambapo mwanamke mmoja alijifungua mtoto na kisha kumdumbukiza katika tundu la choo. Mtoto huyo alizaliwa nyumbani sio hospitali baadae siku ya tarehe 04/11/2014 mama huyo alimdumbukiza kichanga hicho mwenye  jinsia ya Kiume chooni.

Mama huyo alietambulika kwa jina la Magdalena inasemekana lengo kuu la kufanya kitendo hiko cha kikatili ni kuficha ukweli kwa mume wake aliekua safarini kuwa amezaa.

Aidha mwanamke huyo  kwani  amekuwa na tabia yake ya kuwa na mwanaume  wengine pindi mumewe akiwa hayupo na  alinasa. ili kujinasua akaamua kudumbukiza mtoto chooni na yeye abaki kuwa mwanamke wema mbele ya macho ya mumewe.

Mtoto huyo alidumbukizwa chooni jioni usiku wa tarehe 4,11.2014 na kuokolewa asubuhi yake tarehe 05/11/2014  baada ya majirani kusikia sauti za kilio cha mtoto mchanga. Mtoto huyo yuko hospitalin kwa sasa huku mama yake akishikiliwa na polisi mwa mahojiano zaidi.



«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply