Baadhi ya viongozi wa ccm wilaya ya kahama wakiwa katika uzinduzi wa kampeni za uwenyekiti wa mitaa
Mgombea wa nafasi ya uwenyekiti wa mtaa wa igomelo Ramadhani Morris akisamia wananchi walifika katika mkutano wa Adhara kwenye viwanja vya malunga.
Mgombea wa Nafasi ya uwenyekiti wa mtaa wa malunga Betha Nchambi akiomba kura kwa wakazi wa malunga katika uzinduzi wa kampeni hizo .
Mgombea wa ccm wa mtaa wa korongwe Edward mbelele kulia ni katibu muenezi wa ccm wilaya ya kahama Masoud Meli meli kati ni mke wa mgombea Edward mbelele .
Mh Paschal Mtale Mjumbe wa halmashauri kuu ya ccm wilaya akisalimia wananchi walifika katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni katika uchanguzi wa serikali za mitaa ambapo kata ya malunga walizinduzi .
Mwenyekiti wa tawi la malunga Dornald Mwingulu mwenye kofia mbele mwenye shati ya jano ni mwenyekiti wa UWT wilaya kahama Auoko Nyangusu akichenza rhumba katika uzinduzi wa kampeni za serikali za mitaa mwenye kibaragashia ni mgombe wa mtaa wa igomelo.
Baadhi ya wagombea wa ccm wakisakata Rhumba katika Viwanja malunga.
Wewe Wacha hiyo ndiyo hali ilivyokuwa huko malunga watu walicheza sanaaaaaaa.....
Hapa ni kufurahi tu......chenzea ccm wewe.........
weeeeeeee......mwenyekiti wa UWT wilaya ya kahama mwenye kilemba achenza Rhumba .....
ccm .....ccm ......ccm..... chenzea weeeeee.
MATUKIO PICHA
CCM KATA YA MALUNGA WAZINDUA KAMPENI ZA UCHANGUZI SERIKALI ZA MTAA.
Mgombea wa nafasi ya uwenyekiti wa mtaa
wa igomelo kupitia ccm Ramadhani morris ,amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura siku
ya Desembar 14 mwaka huu kuchangua wagombea bora
Aidha Morris alisema kuwa kila mwenye sifa ya kupiga ni
litampa fursa ya kuchangua kiongozi bora na ambaye anaweza kutatua matatinzo
yenu,na kero pia nilichukua uamuzi huu kwa kila mwananchi na haki ya kikatiba .
Ramadhani alisema kuwa mimi nilikuwa chadema niliopana mambo
ya lugha chafu zimekuwa ni nyingi kuliko kutoa sera za chama na kuwapa tabu
wananchi kuelewa malengo yao na kuamua kuondoka katika chama hicho .
Akifafanua zaidi morris alisema ccm ni chama chenye sera safi
na ni bora akitolea mfano mgombea alimaliza muda wake alisema kuwa katika mtaa
wetu wa igomelo kumekuwa na kero nyingi za kijamii jambo ambalo mwenyekiti ambaye alikuwepo
zilikuwa zitatuliwi kwa wakati na kulete migongoro ya mara kwa mara .
Naye katibu wa tawi la ccm igomelo Mapalala Fabiani alisema
kuwa tuliamua kumuondoa mwenyekiti Agustino Mabula kwa sababu kila jambo
alikuwa akifanya kazi peke yake na halikuwa hana kamati za ushari za kata jambo ambalo limeleta kero
kubwa kwa wananchi na kwa chama cha ccm na tulikwisha mpa onyo la kiofisi
lakini halikuwa ni mkaidi .
Adhia katika uzinduzi huo mgeni Rasmi katibu muenezi wa ccm
wilaya yak ahama masoud melimeli alisema kuwa hakuna chama kizuri kama ccm
ambacho kinawenza kuleta maendeleo katika kata ya malunga na mitaa ya igomelo
,korongwe,na mtaa wa malunga.
Akifafanua zaidi katibu muenezi wa ccm wilaya melimeli
aliwaonya wanachama wao walikosa kuingia katika kukombea nafasi ya mwenyekiti
wa mitaa hiyo nao wawe na subira siku yao ikifika watafanikiwa katibu huyo
alitaja wangombea wa kata ya malungu kupitia ccm kuwa ni Ramadhani Moris ambaye
anagombea mtaa wa mwamva igomelo,Edward mbalele ambaye anagombea mtaa wa
korongwe na Betha Nchimba mtaa wa malunga .
Naye Mwenyekiti wa (UWT ) wilaya ya kahama leocadia nyangusu
Aouko alisema kuwa wakati humefika wa vijana kusimamia maendelo ya maeneo yenu
imekuwa mnalalamika kuwa chama kimeweka wazee tu sasa safari hii simnao mwenyewe
.
“simnao malunga kuna mama ,korongwe kuna kijana na mwamva kuna
kijana naombe wakina mama msiwaungeshe wangombea wa ccm alisema wikina mama
naombe kura zenu alisema kwa niamba ya wangombea.
Mwisho .
No comments: