sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » SHEREHE ZA UZINDUZI WA JINA JIPYA LA KAMPUNI YA ACACIA NA BARABARA ZA LAMI MJINI KAHAMA .

 

Afisa mtendaji mkuu wa kampuni ya Acacia mwenye miwani Brad Gordon Akiwa na mkuu wa wilaya ya kahama Benson Mpesya mwenye sharti la mikono mirefu  wakikata upete wa kuzindua ujenzi wa barabara za Lami za kilometa 5 ambazo zimejengwa na mgodi huo . 
 
  . 

 
BADHI ya wafanyakazi wa mgodi wa Buzwagi wakiskiliza hotuba ya mgeni Rasmi mkuu wa wilaya ya kahama Benson Mpesya Ambaye Hayupo Pichani wakati wa uzinduzi wa jina jipya la kampuni( Acacia )
Afisa Mtendaji mkuu wa kampuni ya Acacia Brad Gordon mwenye miwani wakisikilaza hotumba ya mkuu wa wilaya ya kahama Benson Mpesya mwenye kofia ni meneja wa mgodi wa buzwagi Frilbert Rywemamu.
Wafanyakazi wa ACACIA Wakiwa katika ukumbi kabla mkuu wa wilaya kuwasili katika eneo hilo la mkutano

Hii ndiyo keki ya uzinduzi wa jina jipya ambayo imebebwa na wafanyakazi kama ishara ya jina jipya la kampuni
Mwenye kofia ni meneja wa mgodi wa Buzwagi Filrbet Rywemamu kati ni mkuu wa wilaya ya kahama Benson Mpesya na mwenye miwani ni Afisa Mtendaji mkuu wa ACACIA Brad Gordon wakiangalia ngoma ya asili ambayo hawapo pichani .

Furaha ya kukata keki meneja wa mgodi wa buzwagi kati ni mkuu wa wilaya ya kahama na mwisho ni mtendaji mkuu wa Acacia.
Furaha ya jina la Acacia kuwa wamoja
Mwenye kisu ni Afisa habari wa mgodi wa Buzwagi Blandina mughezi
Wakiwa na fuhaha baada ya kukata keki hogereni wote
Wafanyakazi wakiwa na furaha kubwa na kuendelea kupata vinywaji kwa watu wote.
Mkuu wa wilaya Benson Mpesya akipanda mti  wa Acacia Kuonyesha ishara ya kumbukumbu ya kubadilishaji wa jina jipya la Acacia katika mgodi wa Buzwagi . huku Afisa mtendaji mkuu mwenye miwani akiangalia
Afisa mtendaji mkuu wa Acacia Brod Goldon Akipanda mti kama ishara ya kubadili jina la( ABG)na kupewa jina jipya la Acacia.
Afisa mtendaji Mkuu  akipanda mti  kuonyesha jina( ABG )limekufa na kuonyesha jina jipya la (Acacia )
Meneja wa mgodi wa Buzwagi Filbert Rywemamu akipanda mti.
Huu ndiyo mti alipanda mkuu wa wilaya ya kahama Benson Mpesya 
Mwenye suti nyeusi ni mkurungezi wa mji wa kahama Felix Kimaryo na mkuu wa wilaya ya kahama mwenye shati la mikono mirefu Benson Mpesya wakingia ndani ya mgodi w buzwagi. .
Eneo la mgodi  wa buzwagi likionekana kwa nje jinsi lilivyo onekana .
Haya ndiyo mawe ya dhahabu ambayo tayari yamekwisha ondolewa dhahabu hiyo .

Baadhi ya wafanyakazi wa mgodi wa Buzwagi wakiwa katika uzinduzi wa barabara zilizofadhiliwa na kampuni ya Acacia
Burundani zilikuwepo nazo katika uzinduzi huo .
Furaha za watumishi wa mgodi wa Buzwagi wakimsubiri mkuu wa wilaya ya kahama
Meneja mkuu wa mgodi wa Buzwagi Filbert Rywemamu akiomba mkuu wa wilaya ya kahama katka uzinduzi wa barabara ya zongomera road ana kupewa jina jipya la ACACIA Road .
Mkuu wa polisi wa wilaya kahama akitoa maelenzo kwa wp wake juu ya kuangalia usalama wa magari na watu katika barabara hiyo .
Mkuu wa wilaya ya kahama Benson Mpesya akihutumbia wananchi wa eneo hilo kwenye uzinduzi wa barabara mpya ambayo zimejengwa kwa kiwango cha lami zenye kilometa tano .
Hivi ni vimbao vipya vinavyonesha jina jipya na lazamani katika barababara .
 

Wafanyakazi wa Mgodi wa Buzwagi kuonyesha Nebo mpya la jina la ACACIA .
Afisa Mtendaji mkuu wa Acacia Brod Goldon mwenye miwani na kati ni mkuu wa wilaya ya kahama na mwisho ni meneja wa mgodi wa buzwagi
Afisa mtendaji mkuu wa Acacia mwenye miwani na viongozi wengine wa ACACIA wakifurahi kwa pamoja na mkuu wa wilaya ya kahama Benson mpesya .baada ya kufungua njia hiyo na kuweka jina jipya la barabara .

Hii ndiyo moja ya barabara zilizonjengwa na kampuni ya Acacia mjini kahama zenye kilometa tano .kwa kiwngo cha lami .
Moja ya kituo cha Afya cha Mwendakuli ambacho kimejengwa na kampuni ya ACACIA
Bernard polycalp mkurungezi wa kampuni pazima ambaye anasimami ujezi huo ambapo mkuu wa wilaya ya kahama hakipongeza kwa kufanya kazi vizuri .
Mafundi wakiwa katika haraka ti za mwisho wa kituo cha Afya Mwendakulima .
Mwana mama huyo ni moja wa mafundi wa kituo cha Afya cha mwendakulima ambaye jina lake alikuwenza kupatikana mara moja. .
Meneja wa mgodi wa Buzwagi Gold Mine akitoa maelenzo mwenye kuonyesha mikono  juu ya kituo hicho kwa Afisa mtendaji mkuu wa Acacia Brod Goldon juu hali halisi ya kituo hichi .
Maelenzo ya kituo cha ujenzi cha Afya cha mwendakuli ambacho kinafadhiliwa na kampuni ya Acacia mwenye kofia Bernad polycap mkurungezi wa kampuni ya pazima,   ambao wamepewa ujenzi huu na kampuni ya Acacia.
Moja ya nyumba za madaktali wa kituo cha Aya cha mwendakulima.
Hili ndiyo jengo la kituo cha Afya cha mwendakulima mjini kahama ambapo kituo hiki kimefadhiliwa na kampuni ya ACACIA .

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply