Moja wa wa watoto wa wafanyakazi wa mgodi wa dhahabu Desdery kweyuna akepewa maelezo toka kwa Dr wilfred kaizerege juu ya huduma za afya kwa wafanyakazi wa mgodi huo
Mkuu wa wilaya ya kahama Benson Mpesya mwenye suti akikaribishwa na meneja wa mgodi wa buzwagi Filbert Rweyemamu katika siku ya familia day ya mgodi huo .
Afisa mahusiano wa mgodi wa dhahabu wa buzwagi blandina mughezi mweye miwa,huku meneja wa mgodi huu Filbert Rweyemamu akipokea mkuu wa wilaya ya kahama .
Mzee karibu sana
Meneja wa mgodi wa buzwagi Filbert Rweyemamu ali mbele ya mgeni rasmi mkuu wa wilaya ya kahama kwenye sherehe za siku ya famila ya mgodi wa buzwagi .
Karibu sana mkuu wetu .
Meneja wa mgodi wa Buzwagi Filbert Rweyemamu akitoa hotuba kwa mgeni rasmi .
Maonyesho ya jiwe lenye dhahabu ambapo mkuu wa wilaya alijione jiwa lenye dhahabu .
Mkuu wa wilaya ya kahama Benson Mpesya akuliangalia jiwe lenye dhahabu kwenye siku ya familia day ya wafanyakazi wa mgodi huo .
Moja wa watalamu wa uokoaji wa mgodi wa buzwagi akitoa maelezo kwa mkuu wa wilaya ya kahama juu ya kutokea dharuru wakati wa matukio ya aina yonyote katika mgodi na jamii ilipo eneo la mgodi huu .
Meneja wa mgodi wa buzwagi Filbert Rweyemamu akipokea maelezo juu ya utumiaji wa maji katika bada la utunzaji wa mazingira .
Mkuu wa wilaya kahama Benson Mpesya akikangua wanamichezo wa timu za neboli kati ya buzwagi na shule ya sekondary ya mwendakulima ambapo shule hiyo ilishinda dada zao kwa mabao 8.kwa 4 buzwagi
Timu kapetin wa shule ya sekondary ya mwendakuli Roze mwenye blauzi ya kijani akisalimiana na mkuu wa wilaya ya kahama ambapo alikuwa mgeni rasmi siku hiyo .
Mkuu wa wilaya akiwa eneo la uwanja wa michezo wa buzwagi kabla ya michenzo hiyo kuanza .
Timu ya Buzwagi ikiwa tayari kwa pambano kati yake na Stamico ya Biharamilo
Meneja mwenye kofia kichwani kati ni mkuu wa wilaya ya kahama wakiangalia mpambano kati ya buzwagi na Stamico ya Biharamulo .
Picha ya timu ya pamoja ya buzwagi .
Timu ya Stamico ya Biharamulo wakiwa katika pozi kabla mpambano wao wa siku ya familia day
Timu ya Buzwagi ya netboli wakiwa katika pozi weeeeeee acha tu
Timu ya Shule ya mwekulima sekondary wakiwa katika pozi ........
Mtoto huyu ambaye akiwenza kufamika jina lake mara moja naye akuwa mbali katika bonaza hilo kwa kuchenza mpira .
Hivi ndiyo patashika nguo kuchani wakati timu ya sekondary ya mwendakulima wakifunga bao la 8 na la ushidi .
Wanafunzi wa shule ya mwendakulima wakiwa na furaha kubwa ya ushindi zindi ya dada zao wa buzwagi kwa kipigo cha mbao 8 .
Weeeeeee chenzea wanafunzi wa mwendakulima .........hivyo ndivyo wakichenza ngoma yao ya shule .
Hapa ni pozi la kumaliza kuchenze watu wote waliburudika na vinywaji mbalimbali na vyakula .
Mkuu wa wilaya akitafakali jambo
Afisa mausihano wa mgogi wa Buzwagi Blandina mughezi mwenye miwani akiongea neno na meneja wa mgodi huu mwenye kofia.
Baadhi ya wafanyakazi wa mgodi huu walipewa zaidi kwa kufanya kazi kwa kujituma zaidi .
Mkuu wa wilaya ya kahama Benson Mpesya akimkabidhi cheti mkuu wa ulinzi kwa kazi nzuri ya kulinda usalama wa mgodi na wafanyakazi wote .
Hili ndiyo eneo la burundani zote hapa
Mkuu wa wilaya ya kahama Benson Mpesya akihutubia wafanyakazi wa mgodi huu siku ya familia kwa wafanyakazi hao .
Mapocho pocho kama kawaida ukiwa eneo la mgodi huu .
No comments: