Kijana sebastin akotwa maeneo ya kanisa la roma katoliki mjini kahama huku hakiwa awenzi kuongea jina lake vizuri huku kwenye mkono wake likiwa limeandikwa jina lake .
Afisa maendeleo wa mji wa kahama Neema lujumba akiwa na kijana huyo baada ya kufikishwa ofisi ya mtendaji wa kata ya nyasubi kwa mahojiano zaidi
kijana sebastin akiwa na ofisa maendeleo Neema lujumba kwenye ofisi ya mkurungezi wa halmashauri ya mji wa kahama.
kwa mujibu wa afisa maendeleo huyo alisema kuwa mtoto huyu aliokotwa na wasamalia wema tu katika nyumba moja akiwa amelala huku hakiwa hajitabuhi .ana kuletwa katika ofisi yaq mtendaji wa kata hiyo kwa mahojiano zaidi .
No comments: