Meneja wa plantinum Daiel akijandiliana na mmoja wa watumishi juu ya kuweka mambo sawa wakati wa sikukuu .
Huduma za vyakula mbali mbali vikitolewa na wahudumu wa hotel
Mteja hakipewa huduma ya supu ya kuku asubuhi
Wafanyakazi wa hotel ya plantinum wakiwa katika pozi kwenye makochi muluwa kwa ajili ya wateja
Baadhi ya wateja wakingia katika hotel kupata huduma ya chakula plantinum mchana
michezo ya watoto kama inavyoneka wazazi leteni
watoto wanu katika sikukuu
Baadhi ya wazazi wakiangali watoto wao katika kipindi cha sikukuu
Watoto wakifurahia plantinum hotel
Watoto wakicheza mchezo wakuongelea.
Michezo mbali mbali ya watoto wazazi waleteni watoto wenu kusherekea sikukuu .
Matukio mbali mbali ya kucheza watoto kwenye bembea
Michenzo ya kuteleza watoto
Bembea za chuma kwa watoto .
Karibuni wateja wetu ni maneno ya mhudumu wa plantinum hotel
Pia chakula ugali wa mtama hupo maziwa ngado yapo na mboga mboga zipo pia
Chenza mchezo wa kuruka juu
maziwa na ugali upo .
Hii ndiyo plantinum hotel kwa furaha na familia yako
Watoto wakiongelea kwa furaha kubwa
Moja ya pozi za wafanyakazi wa plantinum hotel
Bembea za watoto wwengi wakiwa na furaha
Madhari ya sehemu ya kukaa wateja plantinum hotel wakati wa chakula
Watoto wandogo wakibembea pekee yake kwa usalama mkubwa
Mchezo wa kuteleza kwa watoto
Baadhi ya kinamama na familia zao wakiwa katika kuvijali plantinum hotel
Michezo ya bembea
Watoto wakitafakali michezo yao
Pia viywaji vipo mbalimbali
Vinywaji Baridi na juice mbali mbali vipo karibuni wote
Michezo ya watoto mbalimbali
Michezo
weeeeeee chezea plantinum hotel
Hukiwa mjini kahama wakati huu wa sikukuu mlete mtoto wako sehemu iliyotulia wakti wa sikukuu hii ya chrismas na mwaka mpya sehemu kubwa kwa michezo ya watoto pia viywaji mbali mbali vinapatikana eneo hilo kwa mfano soda juice .matunda ,pia tunapokea onder mbalimbali za shughuli za vikao ,part na shughuli za kijamii karibuni wote.
Uongozi wa Plantinum hotel inawatakia maandalizi mema ya chrismas na mwaka mpya
No comments: