Waziri mkuu mstaafu Edward Lowassa na mkewe Regina wakiwa na na mjukuu wao Angelica Fredy katika kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania mwanakerekwe mjini unguja walipohudhulia ibada ya christmas
Mke wa waziri mkuu mstaafu Rengina akiwasalimia waaumini wa unguja wakati wa misa ya sikukuu ya christmas .
mchungaji wa kanisa la kilutheri philip mvungi akisoma neno la mungu
Mjuuku wa mheshimiwa lowassa akiangalia neno la mungu wakati wa kusoma injili wakati wa sikukuu ya christmas mjini unguja ambapo waziri mstaafu alisani huko .
Waziri mkuu mstaafu Edward lowassa akiongea katika kanisa la kilutheri mwanakwerekwa mjini ujunga .
No comments: