Hivi ndiyo matukio mbalimbali ya siku ya christmas kahama katika hotel ya plantinum karibuni
Hawa ndiyo wafanyakazi wa hotel ya plantinum wakiwa na sura za tasamu
Wewe chezea pozi la plantinum hotel
Wafanyakazi wakiwa katika picha ya pamoja
Wafanyakazi wa plantinum hotel wakiwa katika ufunguzi wa shapen mwenye sharti nyeupe ni meneja msaidizi na mwenye koti ni mkurungezi wa plantinum hotel
Meneja wa plantinum hotel akiwekewa shapen na matroni wa hotel ya plantinum kama ishara njema ya kusherekea siku kuu ya christmas na mwaka mpya
Hivi ndiyo ilivyokuwa kwenye cheaz ya plantinum hotel karibuni sana wateja wetu kahama
Ni furaha tu wewe wacha tu mambo ya plantinum hotel
Hongereni wote wafanyakazi wa plantinum hotel na wateja wetu wote kwa ushirikiano wenu .
Pia mishikaki ipo karibuni sana
Hizi ndiyo pilipilika za sikukuu ya christmas
Watoto wakiongelea kwa furaha
Muziki nao hulikuwepo kwa ajili ya watoto kufurahia sikukuu ya christmas kama jinsi dj akiwaburudisha wateja
Mkurungezi wa Hotel ya plantinum mjini kahama anawatakia christmas njema wateja wote na kheri ya mwaka mpya kwa ushirikiano wenu katika ujenzi wa hotel yetu mungu awabariki na mwaka mpya tufike pamoja Amin
No comments: