Viongozi wa serekali na shirika la Assia wakiangalia huaribifu mkubwa wa mazingira alishika kiuno ni mwenyekiti wa ASSIA Juma Bamenya akionyesha katibu tarafa hiyo kassim Ramadhani mwenye shati la kitenge.
Mwenyekiti wa songambele juma Bamenya akionyesha moja ya uchafu unaotupwa katika mto kabehelele toka katika jamii iliopo katika kata ya katolo .
Hivi ndiyo watoto wandogo wanaokwenda kuchota maji katika visima ambavyo siyo salama kutokana na maji hayo tupiwa uchafu mbalimbali katika visima hiyo .
Hivi ndivyo baadhi ya visima ambavyo wanachi wa katolo wapo hatarini kupata maradhi kutokana maji hayo kutokuwa salama .
Katibu tarafa ya Butundwe kassim Ramadhani na uongozi wa (ASSI )akiwa mbele kuangalia njisi gani hualibifu wa mazingira hulivyo halibiwa na matumizi ya kibinadamu katika mto kabehelele .
Moja ya visima vikiwa vimetupiwa uchafu jambo ambalo ni hatari kwa binadamu vikiwa na nywele za salon na uchafu mbalimbali .
Katibu mkuu wa songambele mwenye jacketi justine ishengoma akionyesha baadhi ya visima ambavyo vipo katika mto kabehelele .
Baadhi ya wachota maji wakiwa na matoleli yao kwa ajili ya kwenda kuuza maji hayo kwa wanachi wa katolo .
katibu wa songambele justine ishengoma akionyesha viongozi baadhi ya vitu vinavyotupwa katika visima hivyo ikiwemo mizonga ya mbwa na vitu vingine kama nywele za salon .
Mwenyekiti wa (ASSIA) Juma Bumenya akiongoza viongozi wa serikali wakikangua msitu wa mto kabehelele
Baadhi ya wachota maji wa mji mdogo wa katolo wakiwa katika mto kabehelele wakisikilza viongozi wa mji ndogo wa katolo ambao hawapo pichani jinsi ya kutunza mazingira hayo .
Baadhi ya wanachi wa mji ndogo wa katolo wakisikiliza viongozi wa serikali katika eneo la mto kabehelele.
Hawa ni baadhi ya kinamama wakichota maji kwa ajili ya matumizi ya nyumba jambo ambalo maji hayo siyo salama kwa binadamu .
Viongozi wa mji ndogo wa katolo wakiangalia moja ya visima ambavyo siyo salama kwa maji yao kwa ajili ya matumizi ya kibinadamu .
Huu ndiyo mto kabehelele ukionyesha jinsi hualibifu ulionfanya na matumizi ya kibinadamu yamearibu uoto wa asili ya mto huu .
Moja ya kisima kilichopo katika njia ya mto kabehelele ambapo baadhi ya wanachi wamechimba kisima hiyo .
Katibu wa songambele mwenye fimbo justine ishengoma akimuonyesha katibu tarafa ya butundwe kassimu Ramadhani akionyesha jinsi gani hali hilivyokuwa mbaya katika eneo hilo la mto kabehelele.
Baadhi ya takataka chafu ambazo zinaingia kwenye visima hivyo na kufanya dampo la uchafu .
Haya ni maji ambayo yanakwenda katika visima hivyo jambo ambalo ni hatari kwa wanachini wa mji mdogo wa katolo ..
Katibu tarafa wa kata ya Butundwe kassimu Ramadhani akisomamewa tarifa ya kikundi cha songambele juu ya uwamuzi wao kikundi chao kuona jinsi gani ya kuokoa mto huu wa kabehelele na kupata maji yakiwa salama kwa mwanachi wa mji huo mdogo wa katolo.
Baadhi ya wanakikundi cha songambele wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa serekali ya kata ya butundwe .
Viongozi wa madhehebu ya dini wakiwa katika picha ya pamoja .
Hivi ndiyo chanzo cha maji ya mto kabehelele uikiwa uchafuliwa na shughuli za kibinadamu .
Baadhi ya kinamama wa umoja wa songambele wakipanda majana aina ya mabingombingo na matete katika mto kabehelele kuokoa uoto wa asili wa mto huo .
Baadhi ya vitalu vya ushirika wa songambele kwa ajili ya kuweka mazingira vizuri ambapo kila mwanachama kila moja ana shamba lake kwa ajili ya kutunza mazingira .
Mwenyekiti wa (ASSIA )Juma Bumenya akionyesha viongozi vitalu vya miti mbali mbali iliyopandwa na ushirika huu mjini katolo .
Moja ya ofisi za ushirika wa songambele solidarity in action mji mdogo wa katole hawa ni baadhi ya wajumbe wakiwa na mwenyekiti juma bamenya
.
Imelenzwa
kuwa zaidi ya wakazi 58 wa mji ndogo wa katolo wapo hatarini kupatwa na
magonjwa ya mlipuko, kuhalisha na homa za matumbo kutokana kunywa
maji yasiyo salama .
Hayoyalisemwa
na mwenyekiti wakikundi cha ( SSIA) songambele solidarity in action.juma
Bamenya kuwa mekuwa na uhalibifu mkubwa wa chanzo cha uoto wa asili wa mto
KABEHELELE kutokana na uchimbwaji wa visima eneo la mto huu.
Aidha
mwenyekiti juma akisoma taarifa yake kwa afisa tarafa ya Butundwe kuwa eneo
hili kama sisi wanakikundi (SSIA) tumeona mazingira ya uoto wa asili wa jicho
hilo limevamiwa na watu tofauti ya kufanya uoto wa mto kabehelele
kutoweka na visima vilivyopo hapo kutumiwa vimbaya.
Akifafanua
zaidi alisema kuwa maji haya wakiletwa wataalamu wa maji ni hayafahi kwa
matumizi ya kibinadamu kutokana kutupiwa vitu mbali mbali kama vile nywele za
salon,takataka ,mizonga ya wanyama kutupiwa katika baadhi ya visima hivyo .
“Mto
huu hulikuwa na miti mingi iliyorafiki na maji yalikuwa yanatirika kwa kipindi
cha mwaka mzima kulikuwepo na bwawa kubwa katika ya mto huo lakini tamaa za
kibinadamu zimesababisha baadhi ya wanajamii kukata miti kwa ajili ya mkaa
,mbao na kuni ,na wengine waliteka maeneo ya ndani mto yakawa miliki zao na
kupanda migomba,magimbi na mahole ”
jIcho
la mto huu kwa sasa maji yaliyokuwa yanatirika hayapo tena hasa kipindi
cha kiangazi badala yake chanzo cha maji kilichowekwa na mungu kimegeuzwa
kitega uchumi cha baadhi watu wenye mitandao wa visma.
Aidha
kwa upande wake katibu wa kikundi cha songambele solidarity in action Justine
ishengoma alisema kuwa tama za baadhi ya wakazi wa katolo na uelewa mdogo juu
ya kutunza vyanzo vya maji kwa sasa mto kabehelele ambao ulikuwa unatiririka
kwa maji muda wote miaka ya 2007 kurudi nyuma leo hii maji ni nadra na eneo la
mto.
Katibu
wa SSIA alizidi kueleza kuwa mto kabehelele umegeuzwa dampo la
takataka ,miti ya asili imekatwa hovyo,eneo limekuwa sehemu ya marisho,visima vilivyojengwa
kutotunzwa vizuri ikiwa pamoja na kuonea wivu biashara hali inayosababisha
baadhi ya visima mizoga ,nywele kutoka salon,na kila aina ya takataka .
Naye
Afisa tarafa wa Butundwe kwa niaba ya serikali kassim Ramadhani alisema
kuwa serikali kuanzi leo imepiga marufuku shughuli zozote za ufanyaji wa
shughuli za kijamii eneo hilo na kuwata watendaji wote kutekeleza agizo hilo
mara moja na kupitisha ngombe na kufanya marisho eneo hilo la uoto wa asili wa
mto kabehelele.
Kikundi
cha songambele( SSIA ) kiliona uhalibifu mkubwa wa mazingira katika mto huo na
kuazisha operation (OKOA UOTO WA MTO KABEHELELE )kwa kutunza mazingira kwa
wakazi wa katolo.
No comments: