sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » WARSHA YA KUJENGA UELEWA WA KUNUSURU KAYA MASKINI KWA VIONGOZI ,NYANGHWALE, TASAF


 Afisa wa kuboresha maisha ya jamii Tatu Mwaruka akitoa maelezo ya Tasaf katika ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya nyanghwale siku ya uzinduzi huo .
 Eng,Barnabas Jachi kaimu meneja wa mradi ya kutoa ajira  na pia ni mtalaamu wa mazingira Tasaf
Baadhi ya madiwani wa halmashauri ya nyanghwale wakisikiliza kaimu meneja wa mradi wa kutoa ajira


 Baadhi ya wajumbe wakiwa makini kwa kusikiliza mgeni rasmi mkuu wa wilaya nyanhwale Ibrahimu marwa
 Mafisa wa idara mbali mbali wakiwa wanasikilza maada kutoka kwa mratibu wa tasaf Taifa
 Baadhi ya wajumbe wakiwa makini kusikilza

 Mkurungezi wa Halmashauri ya wilaya ya nyanghwale Fortunata Malya akitoa maada katika warsha ya tasaf katika ukumbi wa halmashauri .
 Mkuu wa wilaya wajaribu kubadilishana mawanzo juu ya huu mradi wa tasaf 3 nje ya ukumbi wa halmashauri .

 Baadhi ya mwezeshaji toka tasaf mary kiula na mwisho kushoto ni mwanaidi mkumbwa akisikiliza mgeni rasmi mkuu wa wilaya ya Ibrahimu Marwa Nyanghwale .
 Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya nyanghwale mwenye shati la kitenge Yavin Mlela  kati ni mkurungezi wa halmashauri ya nyanghwale Fortunata malya mkuu wa wiliya ya ibrahimu marwa ambaye ameshika tishet na shika shavu ni engBarnabas Jach kaimu meneja wa mradi wa kutoa ajila Tasaf ..

 Mkuu wa wilaya ya Nyanhgwale Ibrahimu Marwa akibadilishana mwanzo na Eng Barnabas Jach nje ukumbi wa halmashauri .
Mwenyekiti wa halmashauri ya Nyanhgwale Yavin Mlela akishukuru mradi wa Tasaf katika halmashauri yake .
Picha ya pamoja baada ya uzinduzi wa Tasaf wilaya ya Nyanghwale

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply