Vikosi
vya Jeshi la Ulinzi, Magereza, Polisi na wataalamu wengine wanaendelea na kazi
ya kuthibiti mmomonyoko wa ardhi uliotokea hivi karibuni katika kijiji cha
Msimbati, Mkoani Mtwara kufuatia mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali.
mmomonyoko uliotokea
karibu na Kiwanda cha Kusafisha gesi asilia kilichopo katika kijiji cha
Msimbati, Mkoani Mtwara. Kiwanda hicho husafisha gesi ambayo inatumika katika
kufua umeme unaotumika katika mikoa ya Lindi na Mtwara.
Naibu
Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga alipotembelea eneo ambalo
limeathirika na mmomonyoko wa ardhi uliotokana na mvua

Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga (anayeelekeza) akishauriana na
Meja Jenerali R. S. Laswai (wa pili kutoka kulia).
No comments: