Mwenye kitambaa kichwani ni afisa wa kuboresha maisha ya jamii makao makuu ya tasaf Tatu Mwaruka ana Mwanaidi mkumbwa wakiwa katika warsha ya kujenga uelewa kuhusu mpango wa kunusuru kaya maskini .
Moja ya mambo ambayo ambayo yapo kwenye mpango wa Tasaf wa kunusuru kaya maskini ikiwepo maji afya ,elimu .
Moja ya kinamama walio katika kaya maskini ambapo mpango wa Tasaf ya visima ambavyo vimealibiwa na baadhi ya watu kwa manufaa yao binafsi.ambapo mpango wa tasaf kunusuru maisha haya.
Hivi ndivyo wakinamama wanapata tabu ya maji huku wakiwa katika shughuli za jamii katika kaya .
Hivi ndiyo wakinamama wakichota maji umbali wa zqaidi ya kilometa kumi na ndiyo maana mpango endelevu wa Tasaf kwa ajili ya kunusuru kaya maskini ikiwepo mradi wa maji .
Kina mama wajawazito wakipata tabu uchotaji wa maji zaidi zaidi ya kilometa 10
Moja ya biashara ya maji katika wilaya ya nyanghwale mkoa Geita na kwenda kuhuza kila dumu moja la maji kwa kiasi cha shilingi 200.
Huu ndiyo huaribifu wa visima vya maji kama inanavyo onekana watu walivyoalibika kwa kuimbiwa kwa pampu ya maji na watu wasiofahamika na kusababisha huaribifu mkubwa kwa jamii
Moja ya kisima ambacho akifanyi kazi baada ya kuimbiwa kwa kifaa cha kupampu maji .
Wana warsha wa mafunzo kwa wawezeshaji ngazi ya mamlaka ya eneo la utekelezaji .
Mratibu wa Tasaf wilaya ya Nyanghwale Nation mkubwa akitoa alinyesimama maelezo juu ya majadiliano ya vikundi (Role pay ) kwa vikundi.
Mwezeshaji toka Tasaf Taif Mwanaidi mkumbwa akitoa maelekezo juu ya Role pay kwa vikundi kwa ajili ya kwenda vijiji kufanya mikutano katika vijiji 40
Afisa wa kuboreshaji maisha ya jamii ( Tasaf )Tatu Mwaruka akiangalia baadhi ya vikundi katika majadiliano ya pamoja
Moja wa wawezeshaji katika mafunzo ya warsha wa ngazi ya mamlaka ya eneo la utekelezaji wakitoa maada juu ya mikutano ya vijiji .
Wana warsha wakisikiliza kwa makini Mwanaidi mkumbwa mwezeshaji toka Tasaf Taifa katika majadiliano ya vikundi kabla ya kwenda vijiji kuangalia kaya maskini .
No comments: