sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » KIKUNDI CHA KINAMAMA CHA UFUNGAJI WA NYUKI WASHUKURU MGODI WA BUZWAGI KWA KUWAPATIA MIZINGA YA KISASA NA HUDUMA ZA KIJAMII .

 Hiki ndiyo kituo cha Afya kikubwa katika kata ya mwendakulima kikiwa katika ujenzi wake wa mwisho ambapo kituo hicho kitakuwa na kutoa huduma zidi ya vijiji kumi vilyopo maeneo hayo na vitongoji vyake.
 Hii ndiyo nyumba ya wahudumu wa kituo cha Afya cha mwendakuli kitakapo haza kazi watakaa hapa ni jengo la kisasa kambisa katika kata hii ya mwendakuli na kituo hiki cha afya.
 Moja ya nyumba ya kisasa ya mwalimu wa shule ya mwime ambayo imejengwa kwa msaada wa mgodi wa (Acacia Gold minig )Buzwagi.ambapo imeleta matumaini mapya kwa wazazi na mwalimu wa shule hiyo .
 Hili ndiyo moja ya madarasa yalionjengwa na mgodi wa( Acacia Gold minig )Buzwagi kwa sasa na kuondoa kukaa kwenye madarasa ya hatari baada ya kuwa na mahusiano mazuri kwa sasa na jamii iliyopo.
 Moja ya madarasa ya shule ya mwime kabla ya ujenzi wa madarasa hayo .
 Hiki ni choo cha shule ya mwime kama kinavyonekana kwa sasa .
 Hii ndiyo nyumba ya mwalimu wa shule ya msingi mwime kata ya mwendakulima hilivyokuwa mwanzo kabla ya mgodi huu kuanza kutoa huduma za kijamii katika vijiji vinavyozunguka mgodi huo wa buzwagi.
Hili ndiyo moja ya Darasa wanaosoma wanafunzi wa shule ya msingi mwime kabla kuanza kwa mahusiano mazuri na mgodi na jamii inayozunguka migodi huo .


KAHAMA
Wakazi wa kata ya mwendakulima na vitongoji vyake wilayani kahama mkoani shinyanga wameupongeza mgodi wa Buzwagi (ACACIA GOLD MINIG)kwa kuchangia huduma za kijamii.

Wito huo humetolewa na umoja wa kinamama wa kikundi cha ufungaji wa nyuki ambapo nipashe alitembelea eneo hilo la kikundi cha kinamama hao na kujione mradi mbali mbali ya kiujasiliamali.

Mmoja wa jumbe wa kikundi hicho pia ni mwenyekiti wa mauzo ,cha ufungaji wa nyuki  Rehema juma, alisema kuwa kwa kweli mgodi huu sisi tulianza na vifaa duni sana na sasa mgodi humefanya kazi kubwa ya kutupatia vifaa kazi na mizinga ya kisasa.

Aidha Rehema juma, alisema kuwa mgodi huu kwa sasa kila kaya imefaidika na mambo mengi sana kwa mfano kinamama kupewa ajila ya kila kaya kwa makundi,na vijiji vya chapulwa ,penzi,mwime ,mondo na  ,mwendakulima.

Vijiji Hivi vimepewa kila kaya miche mitano ya matunda mbalimbali ikiwemo miche ya machungwa kwa ajili ya kutunza mazingira kwa jamii hiyo na mti ya kawaida kwa kila kaya .

Akifafanua zaidi juma alisema kuwa misaada mingine ambayo jamii inatakiwa kupongeza mgodi huu ni pamoja na ujenzi wa vituo vya afya cha mwendakulima,ofisi za mwalimu na nyumba za walimu ,madarasa yalikuwa ni mabovu kabisa na kuwa na husiano mzuri kwa ujumla yake pia huduma ya ulinzi kwa vijiji vinavyozunguka mgodi huu.

Aidha mwanakikundi mwingine Anges joseph alisema mimi nipo hapa toka morogoro huu mgodi miaka zaidi ya kumi na tano  hulikuwa haupo kima mazingira hali ilikuwa mbaya sana kila kitu kilikuwa kimbaya kutokana na wananchi wengi kutokuwa na Elimu ya kutosha juu ya utunzaji wa mazingira.

Aidha Mwenyekiti wa mauzo wa kikundi hicho alisema kuwa sisi kabla kufadhiliwa na mgodi wa (ACACIA Gold Minig )Buzwagi tulikuwa na mizinga ya mabox 120 ambayo yalitungalimu kiasi cha shilingi milioni therasini na sita mlioni 36 kwa ufadhili wa mgodi na mafunzo hayo.

Mwenyekiti Rehema alisema kuwa kwa sasa mgodi huu humetupatia mizinga ya kisasa ipo 60 ambapo toka tumeanza uzalisha huu mwaka jana tumetoa lita 600 kwa miezi sita na mwezi wa kumi na mbili hali ya hewa ilikuwa mbaya sana na hatukupata kitu.alisema Rehema juma .

Mwanakikundi mwingine shabani Ally (Hidama)alisema mwanzo mgodi huu kwa mwananchi wa maeneo haya waliona kuwa mgodi huu huna faida kwa wakazi wa kata hii na vitongoji vyake tumefundishwa, mashamba darasa kwa kila kaya haya ni maendeleo makubwa sana kwa jamii iliopo kwa sasa pia suala kulaumu mgodi hulikuwa ni mkubwa sana kutokana na kutokuwa na na ufahamu wa baadhi ya wananchi juu ya mgodi huu .

Aidha kwa upande wake Eng Meneja wa Mgodi wa Buzwagi( ACACIA GOLD MINIG ) Filbert Rweyemamu alisema kuwa mgodi wa buzwagi katika mradi huu  hulifanywa kwa awamu mbili ya kwanza mgodi hulitoa kiasi cha milioni 40 na kujenga vimbada viwili na kila kibanda kina mabox 30 na kuwa jumla 60,.

Akifafanua zaidi Eng maneja Filbert kuwa awamu ya pili tumetoa kiasi cha milioni 30  na mafunzo ya wiki mbili kwa wanakikundi hayo.

Aidha maneja alisema kuwa shughuli za kijamii mgodi wa buzwagi humefanya mambo mengi tumechimba visima kumi kila kimoja kina toa lita 120 kwa siku na mashine mbili za kisasa za kukamua asali kwa wanavikundi hao alisema Filbert Rweyemamu.



  
  

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply