sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » RAIS JAKAYA KIKWETE AWA MWENYEKITI MPYA WA AFRIKA MASHARIKI


Rais Jakaya Kikwete,Naibu Rais wa Kenya,William Rutto na maafisa wengine wakiwa kwenye Jengo la mikutano wa kimataifa la Kenyatta International Convention Center(KICC)Nairobi,Kenya wakati wa kuimba wimbo wa taifa la Tanzania katika mkutano wa kawaida wa 16 wa Wakuu wa nchi za Afrika Mashariki uliofanyika leo.20/2/2015


Kutoka kushoto ni mgeni mwalikwa,Rais wa Sudani Kusini,Salva Kiir,Rais wa Burundi,Pierre Nkurunziza,Rais Jakaya Kikwete(Tanzania),Rais Uhuru Kenyatta(Kenya)Rais Yoweri Museveni(Uganda)Rais Paul Kagame(Rwanda)na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC)Dk Richard Sezibera
wakiwa kwenye ukumbi wa mikutano kwenye  mkutano wa kawaida wa 16 wa Wakuu wa nchi za Afrika Mashariki uliofanyika leo.20/2/2015



Rais Jakaya Kikwete(kushoto)akipokea bendera ya Afrika
Mashariki(EAC)kutoka kwa Rais wa Kenya,Uhuru Kenyatta ikiwa ni ishara ya kumkabidhi Uenyekiti wa  EAC  kwenye  mkutano wa kawaida wa 16 wa Wakuu wa nchi za Afrika Mashariki uliofanyika leo.20/2/2015

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply