sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» »Unlabelled » PICHA LOWASSA ATINGISHA MJI WA MOSH



AKIPOKEA MAJINA
Katibu wa CCM Wilaya ya Moshi Mjini, Loth Ole Nesele(kulia), akimkabidhi  Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa fomu za ya majina ya wanachama 33,780 waliomdhamini kugombea Urais.
 Mbunge
Mbunge wa Viti Maalumu, Namelok Sokoine(kulia) akiwa  na Makada wenzake  nje ya Ofisi za Chama hicho Mkoa wa Moshi jana wakimshangilia Mjini Waziri Mkuu wa zamani baada ya kuwasili.
Mombo
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akisalimiana na makada wa CCM eneo la Mombo, Mkoani Tanga walizuia msafara wake ili wamsalimie jana wakati akielekea Moshi jana.

Nyama Choma
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akichagua nyama choma eneo la Mombo, mkoani Tanga aliposimama kwa muda na kuzungumza na wafanyabishara na wananchi waliozuia msafara wake ili wamsalimie jana wakati akielekea Moshi jana.
Umati
Waziri Mkuu wa zamani,Edward Lowassa, akizungumza na wanaCCM nje ya Ofisi ya chama hicho Mkoa wa Moshi Mjini baada ya kukabidhiwa majina ya wanachama 33,780 waliomdhamini kugombea urais jana.nyama choma.jpg 3.4 KB/s - 236 KB of 1,332 KB, 5 mins left





«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply