sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» »Unlabelled » Viongozi wa ccm waonywa

JUMUIYA ya wazazi wilayani kahama mkoani shinyanga wimeunga mkono tamko la mwenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM wilayani humo Mabala Mlorwa ya kuwakanya viongozi wanaotumia lugha za kukitusi chama pindi wanapokuwa katika majukwa hasa wakati huu kujinadi wagombea.
 
Kauli hiyo imetolewa jana na mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi wilayani Kahama Ibrahimu Khani wakati alipokuwa akizungumza na wandishi wa habari ofisi kwake, ambapo amesema kuwa kumekuwa na viongozi ambao wamekuwa hawafuati irani ya chama hicho hasa pindi wanapokuwa katika majukwaa.
 
Khani alisema kuwa umoja wa wazazi hautaungana na viongozi wanaokichafua chama cha mapinduzi kupitia majukwaa hasa wakati huu wa kampeni ambapo viongozi wanaendelea kupiga kampeni chinichini bila kufuata kanuni8 na taratibu za chama.
 
Kutokana na hali hiyo,mwenyekiti aliwataka viongozi wanaokichafua chama cha mapinduzi kuachana na tabia hiyo mara moja  na kuongeza kuwa kuna baadhi ya viongozi wanatembea na viongozi matapeli walifukuzwa katika kwenye chama ambapo hali hiyo inapelekea viongozi hao kukichafua chama.
 
Aidha ameitaka jumuiya ya wazazi kujiepusha na viongozi wanaopita na kuwadanganya na vitu mbalimbali na baadala yake washirikiane katika kukiborsha chama kwakushirikiana na viongozi wanaopenda chama na kufuata irani ya chama chama mapinduzi.
 
Mwisho

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply